Maguvu 10 akili 2Tatizo ni kwamba nyinyi mnao taka hizo siasa ngumu nyote mmejificha kwenye ID bandia na wengine wamejificha Marekani na Nairobi kwa uoga,alafu mnaanza kuwatia walio ground kuwa ni waoga na walba asali kisa kufanya siasa lakini ,kama kweli nyinyi sio waoga jitoeni kwenye hivyo vichaka mlivyo jifichia mje mzipambane hizo siasa ngumu mnazo zitaka tuone uanaume wenu.
Ndugu Kiranga, mlinganisho wako kati ya Joe Slovo na Godbless Lema unakosa muktadha wa kimkakati wa sayansi ya siasa. Historia ya ANC na Joe Slovo inatufundisha kuwa walikaa meza ya mazungumzo na Makaburu si kwa sababu walikuwa wameshinda vita vya kijeshi, bali kwa sababu walitambua kuwa diplomasia ni silaha mbadala ya kulinda harakati zao zisiteketezwe na dola yenye nguvu.Kuna mtu alijaribu kumfananiaha Lema na Joe Slovo.
Nilisikitika sana na kumuweka sawa.
Joe Slovo was negotiating from a position of power, he was Umkontho we Sizwe's bombmaker.
Lema is begging Samia for Mercy.
The two are very different things.
Ndugu TIMING, nakushukuru sana kwa mchango wako na kuleta neno hilo la "online rats" ambalo linaakisi uhalisia wa mashambulizi ya kidijitali yanayofanywa bila kuwa na mizizi kwenye ukweli wa uwanjani. Mtazamo wako unagusa jambo zito sana kuhusu kundi la wasomi wanaoshindwa kuelewa mantiki hii ya kisiasa.
Kwanza kabiaa mlinganisho wa Joe Slovo na Lema si wangu, mtu aliuleta. Mimi niliupangua tuNdugu Kiranga, mlinganisho wako kati ya Joe Slovo na Godbless Lema unakosa muktadha wa kimkakati wa sayansi ya siasa. Historia ya ANC na Joe Slovo inatufundisha kuwa walikaa meza ya mazungumzo na Makaburu si kwa sababu walikuwa wameshinda vita vya kijeshi, bali kwa sababu walitambua kuwa diplomasia ni silaha mbadala ya kulinda harakati zao zisiteketezwe na dola yenye nguvu.
Ikitokea CHADEMA na viongozi wake kama Lema wakaamua kwenda kwenye meza ya mazungumzo na serikali, hatua hiyo isitafsiriwe kama "kuomba huruma" au usaliti. Katika diplomasia ya kisiasa (Realpolitik), kukaa meza moja na mtawala ni sehemu ya mchezo wa kimkakati wa kutumia mtaji wa umma ulionao kulazimisha mabadiliko ya kisheria na kulinda chama na wanachama wake dhidi ya ukatili wa dola.
Joe Slovo aliwahi kuitwa msaliti na vijana wenye msimamo mkali wa ANC pale alipopendekeza maridhiano ya "Sunset Clauses" ili kuepusha vita, lakini hatua hiyo ndiyo iliyookoa mustakabali wa Afrika Kusini. Vivyo hivyo, kama viongozi wa uwanjani wataona kuna umuhimu wa kufanya mazungumzo, watakuwa wanatumia ukomavu wa kiakili kulinda uhai wa taasisi, badala ya kuendesha harakati kwa mihemko ya mtandaoni inayotaka kuona watu wanaendelea kuumia.
Ndugu ITR, hoja yako inachoma na inafunua unafiki mkubwa sana unaotawala siasa za kidijitali nchini kwetu sasa hivi. Pamoja na ukweli kwamba mimi mwenyewe natumia akaunti isiyo na jina halisi (ID anon), nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja bila kumung'unya maneno: ni aibu ya kiwango cha juu sana kuona mtu aliyepo Los Angeles, Houston, au London, kwenye faraja ya umeme usiokatika na ulinzi wa kisheria, anajisikia ana haki ya kuwatukana na kuwavua utu wao wanasiasa walio ground nchini.Tatizo ni kwamba nyinyi mnao taka hizo siasa ngumu nyote mmejificha kwenye ID bandia na wengine wamejificha Marekani na Nairobi kwa uoga,alafu mnaanza kuwatia walio ground kuwa ni waoga na walba asali kisa kufanya siasa lakini ,kama kweli nyinyi sio waoga jitoeni kwenye hivyo vichaka mlivyo jifichia mje mzipambane hizo siasa ngumu mnazo zitaka tuone uanaume wenu.
LEMA has not begged anyoneLema is begging Samia for mercy.
The ANC started Umkontho we Sizwe, bombed the apartheid power structure and organized a successful global apartheid boycott, then negotiated from a position of power.
The two are not the same.
Do not confuse them.
Ndugu Kiranga, nakiri tena kuwa uliweka wazi kwamba mlinganisho ule wa Joe Slovo haukuwa wako bali uliletwa na mdau mwingine, na ni sawa kabisa kuelewa kuwa ulikuwa unajibu tu kile kilicholetwa na mtu mwingine. Hata hivyo, uhakiki wa kiweledi unathibitisha kuwa Lema hajawahi kusema ana mbinu binafsi ya kuongea au kujipendekeza kwa Rais Samia, bali anasimamia msimamo wa pamoja wa kamati ya CHADEMA iliyomhusisha yeye, Mnyika, Heche, na Sugu. Katika diplomasia ya kisiasa (Realpolitik), kukaa meza moja na mtawala kwa kuweka masharti magumu—kama kudai msuluhishi huru wa kimataifa—ni mchezo wa kimkakati wa kulinda chama na wanachama wake, na sio ombi la huruma au "njia za panya."Kwanza kabiaa mlinganisho wa Joe Slovo na Lema si wangu, mtu aliuleta. Mimi niliupangua tu
Pili, nakubaki kiwa diplomasia inahitajika, lakini, suala si kufanya diplomasia, suala unafanyaje diplomasia?
CHADEMA.si walifanya diplomasia kwenye 4Rs?.Ilifikia wapi?
Unafanyaje diplomasia ya kumpigia magoti Rais kwenye suala ambalo ushapewa haki na mahakama? Hususan kama huyo Tundu Lissu mwenyewe kashasema hataki fadhila anataka a fair trial?
Unafanyaje diplomasia ya kutafuta convenience wakati hapo kuna nafasi ya kuonesha mfano kwamba tunaweza kusimamia haki na kupata haki bila kutafuta njia za panya za kutafuta mtu ninayemjua hapa ofisi ya serikali?
Lema hata alijaribu chochote kabla ya kukimbilia kwa Samia, tena kukimbilia Samia aingilie jambo ambalo lilishatokewa kauli na mahakama, Lema huyuhuyu anayelalamika mahakama zinaendeshwa kwa kauli kutoka juu?
Huoni contradiction hapo?
Kwanza kabisa mimi nina hoja zangu ambazo nilianza kuziongelea hapa JF kabla Mange hajamjibu Lema.LEMA has not begged anyone
He has told the truth after personal attacks
Hivi kweli brother with all your wisdom unaweza kumtilia maanani mzushi wa kusema chadema wente mapumbu ni wawili? Dada wa Lissu kahongwa?
We may hate ccm with passion, but joining the wrong crew fails all the good deeds of getting our country out of this mess
We need busara na matumizi mazuri ya akili. You can’t build by destroying
You can’t destroy structures zote za democracy halafu utegemee zitarudi ukimtoa ccm, aishiye kwa upanga hufa kwa upanga
Mange is not even the right person kwa mtanzania yoyote has aukozingatia alipoanzia na social media, video chafu, invading personal privacies etc
We need a new, modern, cyber and alternative thinking to go along with digital era
Sio vyupa mabomu na bunduki kitaa
Your excessive focus on an individual tree will deny you the ability to see the forest. Their target doesn’t have to be Mange.This is totally beside the point.
I just want to see convincing evidence.
Mange hawezi kukutana na huyu shetani mdogo, angalao hata picha moja ikaonekana. Just something to support the allegation.
Hatuwezi kila mara kuwa tunaimba tu, huyu AAbdul kafanya hivi au vile.
In the case of Lissu, there was at least supporting evidence of the visit, na akina, nani yule mjaluo Wenje alikiri kuwa walimtembelea Lissu.
The rest of the dots were easy to connect.
Mwenyekiti alisema SIASA ZA MSHIKE MSHIKE.Tatizo ni kwamba nyinyi mnao taka hizo siasa ngumu nyote mmejificha kwenye ID bandia na wengine wamejificha Marekani na Nairobi kwa uoga,alafu mnaanza kuwatia walio ground kuwa ni waoga na walba asali kisa kufanya siasa lakini ,kama kweli nyinyi sio waoga jitoeni kwenye hivyo vichaka mlivyo jifichia mje mzipambane hizo siasa ngumu mnazo zitaka tuone uanaume wenu.
Ndugu Kiranga, ni vizuri umeweka ufafanuzi wako kuhusu kutokuwa sehemu ya kambi ya Mange Kimambi. Ni sawa kabisa na ni jambo la kiweledi kukuondoa kwenye kundi hilo, na hoja yako kuhusu mtego wa mtazamo finyu (false dichotomy) ina mashiko makubwa pale unapobainisha kuwa unaweza kumkosoa Lema kwa kutumia fikra zako huru bila kumtegemea mwanaharakati wa mtandaoni.Kwanza kabisa mimi nina hoja zangu ambazo nilianza kuziongelea hapa JF kabla Mange hajamjibu Lema.
Mange si mtu ninayempa umuhimu katika uchambuzi wa mambo ya siasa, namjua tangu akiwa binti mdogo girlfriend wa rafiki yangu, si kwa kumuona mitandaoni leo.
Mange mimi simsikilizi, labda mtu anilazimishe kwa kunichezea content zake, au a forward na kutaka mawazo yangu.
Anavyoongea overly emotionally tu anani bore. Mange is just a gossip girl who got into politics too emotionally, too fast and too naively.
Kwa hiyo mimi si mtu wa kumshobokea Mange tafadhali nitoe katika kundi hilo.
Mange ana matatizo yake mengi, siko hapa kumshabikia Mange.
Ila Watanzania wengi kama wewe wana utapiamlo wa akili, wakiona unamsema Magufuli, basi moja kwa moja wanakuona wewe ni Team Samia. Wakati inawezekana huwakubali wote.
Wakikuona unamsema Lema, basi moja kwa moja wanakuona wewe lazima utakuwa Team Mange. Wakati inawezekana huwakubaki wite.
That is a false dichotomy logical fallacy. That is a non sequitur logical fallacy.
Kwanini unaona siwezi kuwakosoa wote wawili, Mange na Lema, kama watu wenye matatizo common kwa Watanzania wengi?
Kwa nini unaona nikimkosoa Lema lazima niwe Team Mange?
Mange karudia points nyingine nilizoanza kuzisema mimi hapa JF, kabla yeye hajamjibu Lema. Sasa unajuaje kuwa Mange hakuanza kupata hizo points kwangu kwa kusoma JF akitafuta points za kumjibu Lema?
Unajuaje mimi ni mfuasi wa Mange na Mange si mfuasi wangu?
Nia ya mtu haijifichiNdugu ITR, hoja yako inachoma na inafunua unafiki mkubwa sana unaotawala siasa za kidijitali nchini kwetu sasa hivi. Pamoja na ukweli kwamba mimi mwenyewe natumia akaunti isiyo na jina halisi (ID anon), nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja bila kumung'unya maneno: ni aibu ya kiwango cha juu sana kuona mtu aliyepo Los Angeles, Houston, au London, kwenye faraja ya umeme usiokatika na ulinzi wa kisheria, anajisikia ana haki ya kuwatukana na kuwavua utu wao wanasiasa walio ground nchini.
Ukweli wa mambo ni kwamba watu kama Godbless Lema wanaishi chini ya rada na msukosuko wa kila siku wa vyombo vya usalama; uhuru wao ni wa mashaka, simu zao zinasikilizwa, na kila wanapotoka asubuhi hawana uhakika kama watarudi kulala salama nyumbani kwao au wataswekwa mahabusu. Ni rahisi sana ukiwa umekaa ughaibuni au umejificha nyuma ya 'kichaka' cha ID bandia kudai "siasa ngumu" za maandamano ya mapinduzi na kuwaita waliopo ground ni waoga au walamba asali, kwa sababu unajua fika kuwa virungu, mabomu ya machozi, na risasi za moto hazitakufikia wewe.
Matusi na kashfa zisizo na miguu wala mikono zinazomwagwa mitandaoni dhidi ya wanasiasa waliosasitishwa kiuchumi, waliokaa gerezani miezi minane, na waliokimbia nchi kama wakimbizi, hazisaidii harakati bali zinajenga ufa kati ya wapigania haki wa kweli na wapiga kelele wa mitandaoni. Kama kweli hawa watu wa mbali wanajiona ni majasiri kuliko akina Lema, Heche, na Mnyika, basi wajitoe kwenye hivyo vichaka vyao vya kidijitali, wakate tiketi za ndege, na waje Dar es Salaam au Arusha kusimama mstari wa mbele uwanjani tuone ujasiri wao unaoishia kwenye kibodi zao.
This is totally beside the point.
I just want to see convincing evidence.
Mange hawezi kukutana na huyu shetani mdogo, angalao hata picha moja ikaonekana. Just something to support the allegation.
Hatuwezi kila mara kuwa tunaimba tu, huyu AAbdul kafanya hivi au vile.
In the case of Lissu, there was at least supporting evidence of the visit, na akina, nani yule mjaluo Wenje alikiri kuwa walimtembelea Lissu.
The rest of the dots were easy to connect.
Dear Pulchra Animo, your point about focusing on the "forest rather than the individual tree" is noted, and the argument that an established pattern carries weight in political analysis is well-understood. However, from a professional and objective perspective, analyzing a situation based on a supposed pattern while completely ignoring the absence of verifiable facts in a specific, high-profile accusation is a flawed methodology.Your excessive focus on an individual tree will deny you the ability to see the forest. Their target doesn’t have to be Mange.
We’re interested more in the established pattern than in an individual incident. The established pattern is that the mazafakas are willing to pay anyone who can amplify their effort to restore their good image!
Kuna uzi mmoja bwana MALCOM LUMUMBA alionya sana kuhusu hawa wanaharakati walionza siasa ukubwani. Kuna siku watanzania tutagundua tupo pekee yetu and no one careMange nonsense...
- Lema anadharauliwa sana na Abdul... ooh mimi Mange Abdul ananiheshimu sana..!
Hiyo heshima anayodai kupewa na Abdul yeye alijuaje kama anapewa?
Nae huwa anaongea na Abdul kwa simu sio!.
- Lema alipowekewa maburungutu ya pesa alitetemeka!, alikuwepo akamuona Lema akitetemeka?!
Anaishi kwa habari za kuambiwa kisha anaziamini kwa 100% then anataka na wengine tuziamini kama anavyoziamini yeye!
Kila siku ushahidi hana, ni kelele tu, ndio maana akipingwa anatishia kuwasemea wengine ili wafukuzwe U.S.
Kuwa mfuasi wa hiki kiumbe lazima uwe mjinga kama chenyewe, Lema aache kuhangaika na hii akili ndogo anapoteza muda.
Huwezi kujenga democracy kwa kuacha mifumo ianguke na wewe kiongozi wa upinzani kutumia network za juu, za privilege, kumaliza matatizo yako kwa kujuana, badala ya kutumia peovess ya haki.Ndugu Kiranga, ni vizuri umeweka ufafanuzi wako kuhusu kutokuwa sehemu ya kambi ya Mange Kimambi. Ni sawa kabisa na ni jambo la kiweledi kukuondoa kwenye kundi hilo, na hoja yako kuhusu mtego wa mtazamo finyu (false dichotomy) ina mashiko makubwa pale unapobainisha kuwa unaweza kumkosoa Lema kwa kutumia fikra zako huru bila kumtegemea mwanaharakati wa mtandaoni.
Hata hivyo, ukiacha kando suala la nani alianza kusema nini au nani anamfuata mwenzake, kiini cha hoja yangu kinarudi kwenye misingi ya busara na sayansi ya kisasa ya harakati (modern alternative thinking). Tunaposema Lema hajaomba huruma na kwamba alikuwa anajibu mashambulizi ya kibinadamu, tunazungumzia dharura ya kulinda mifumo na taswira ya kidemokrasia (democratic structures). Katika zama hizi za kidijitali, huwezi kujenga demokrasia kwa kubomoa uaminifu wa taasisi na viongozi waliopo ground kwa kutumia kashfa zisizo na thibitisho, kwani ukiharibu misingi hiyo sasa, hutakuwa na cha kurithi pindi mabadiliko yakipatikana.
Ukombozi wa sasa nchini Tanzania hauhitaji siasa za vyupa, mabomu, na bunduki mitaani, wala hauhitaji propaganda zinazovamia faragha za watu na kushambulia familia kama ilivyofanyika kwa dada yake Tundu Lissu. Tunahitaji fikra mpya za kisasa za kimkakati (cyber and alternative thinking) ambazo zinatambua kuwa diplomasia, kuweka masharti ya kisheria kama kudai msuluhishi huru, na kujilinda dhidi ya uzushi ni pande zinazokamilishana. Kusimamia hoja zako huru ni haki yako, lakini ni lazima utofautishe kati ya ukosoaji wa kimkakati wa kisomi na kuacha mianya inayoweza kutumiwa kubomoa harakati bila kuleta mbadala madhubuti.
Ndugu brain cracker, mchango wako unaoleta kumbukumbu ya tahadhari ya Malcom Lumumba unagusa kiini kilekile cha uhalisia tulio nao sasa. Kama wewe ulivyoona onyo hilo, mimi kijana wa ifoza nililiona hili mapema na tayari nilishaandika makala mbili nzito hapa jukwaani zilizotabiri kwa usahihi kabisa jinsi tutakavyoachwa upweke pindi wanaharakati hawa wanapopoteza mwelekeo wa msingi na kuwa mateka wa siasa za majungu.Kuna uzi mmoja bwana MALCOM LUMUMBA alionya sana kuhusu hawa wanaharakati walionza siasa ukubwani. Kuna siku watanzania tutagundua tupo pekee yetu and no one care
Uko rightKwanza kabisa mimi nina hoja zangu ambazo nilianza kuziongelea hapa JF kabla Mange hajamjibu Lema.
Mange si mtu ninayempa umuhimu katika uchambuzi wa mambo ya siasa, namjua tangu akiwa binti mdogo girlfriend wa rafiki yangu, si kwa kumuona mitandaoni leo.
Mange mimi simsikilizi, labda mtu anilazimishe kwa kunichezea content zake, au a forward na kutaka mawazo yangu.
Anavyoongea overly emotionally tu anani bore. Mange is just a gossip girl who got into politics too emotionally, too fast and too naively.
Kwa hiyo mimi si mtu wa kumshobokea Mange tafadhali nitoe katika kundi hilo.
Mange ana matatizo yake mengi, siko hapa kumshabikia Mange.
Ila Watanzania wengi kama wewe wana utapiamlo wa akili, wakiona unamsema Magufuli, basi moja kwa moja wanakuona wewe ni Team Samia. Wakati inawezekana huwakubali wote.
Wakikuona unamsema Lema, basi moja kwa moja wanakuona wewe lazima utakuwa Team Mange. Wakati inawezekana huwakubaki wite.
That is a false dichotomy logical fallacy. That is a non sequitur logical fallacy.
Kwanini unaona siwezi kuwakosoa wote wawili, Mange na Lema, kama watu wenye matatizo common kwa Watanzania wengi?
Kwa nini unaona nikimkosoa Lema lazima niwe Team Mange?
Mange karudia points nyingine nilizoanza kuzisema mimi hapa JF, kabla yeye hajamjibu Lema. Sasa unajuaje kuwa Mange hakuanza kupata hizo points kwangu kwa kusoma JF akitafuta points za kumjibu Lema?
Unajuaje mimi ni mfuasi wa Mange na Mange si mfuasi wangu?
Tofauti yangu mimi na wewe ni kwamba mimi nimetoa sababu za kimantiki kwa nini nasema wewe una utapiamlo wa akili.Uko right
Sis’i wenye utapiamlo hatuna tofauti na type yako yenye same utapiamlo it’s a 6 and 9 situation
We tend to generalize, speculate, and judge
Anyways we learn every dsy
But democracy is not equal to vurugucracy
But I hear you brother
Umebweka sana ndugu ulipoleta hoja ya liseye kutokulaTofauti yangu mimi na wewe ni kwamba mimi nimetoa sababu za kimantiki kwa nini nasema wewe una utapiamlo wa akili.
Sababu ambazo zinaweza kupimwa na kukubaliwa au kukanushwa.
Wewe umebwata kwa hasira kama mbwa anayetumia Pavlovian reflex bila akili.
Ukithibitisha maneno yangu kuwa una utapiamlo wa akili.
This is exactly what I am talking about.
Kijana wa Ifoza, don’t underestimate the difference between courts of law and the court of public opinion. While courts of law always require those who allege to prove their allegations, the court of public opinion almost always doesn’t. Most of the time, in the court of public opinion, the accused has to formulate and present an overwhelming response to the allegations or else the allegations will dog him/her to his/her grave!Dear Pulchra Animo, your point about focusing on the "forest rather than the individual tree" is noted, and the argument that an established pattern carries weight in political analysis is well-understood. However, from a professional and objective perspective, analyzing a situation based on a supposed pattern while completely ignoring the absence of verifiable facts in a specific, high-profile accusation is a flawed methodology.
An established pattern cannot be used as an automatic substitute for proof in a specific case. While it is true that political regimes globally often look for ways to manipulate narratives or co-opt individuals to polish their image, asserting that a specific leader like Godbless Lema has been "bought" requires direct, verifiable evidence (proof). Without it, relying solely on a "pattern" turns serious political analysis into mere speculation, which can be easily weaponised to dismantle a movement from within by spreading mistrust.
Furthermore, looking at the very pattern you mentioned, the inconsistencies become clear. The recent false rumors regarding Tundu Lissu's sister being accommodated at a luxury hotel by the state proved to be entirely fabricated when she publicly dismissed them. This demonstrates that the pattern we are actually seeing from internet-based commentators is a tendency to throw heavy, unsubstantiated allegations into the public domain, only to switch to a new narrative once they are challenged to provide hard evidence. In modern political discourse, you cannot build a credible movement on assumptions; you need both a clear view of the forest and verifiable facts for every individual tree.