Mange anajuaje Abduli anamheshimu sana yeye kuliko heshma anayopewa Lema?Ndio ninachokiona hapa hawa inawezekana wanajuana wenyewe kwenye mambo yao mengine nje ya Chadema
Ni mkweli.Si kama wewe unatetea na kusimama na wauaji.Samia and the gang!
Mange anazuazua tu na kujaza watu chuki,kumtaja Abdul kila speech,pesa za damu za Abdul,Abdul ananyonya watu damu na kuuza Ili apate pesa?.. wakati lema anapewa pesa na Abdul na kutetemeka yeye mange alikuwepo?
Mtu atayetumia muda wake kumsikiliza na kumuamini Mange kwenye issues ambazo zinahitaji ushahidi usio na shaka, mtu huyo atakuwa na ubongo kama wa Mange...
CCM hawajaanza leo kuvuruga vyama pinzani, watatumia kila aina ya mbinu ikiwemo hata kupeleka habari ovu kwa wachonga ngenga kama kina Mange...
Mfano, Lema alipotoa press yake kwa kiasi kikubwa waliotoa pongezi ni viongozi au wanasiasa waandamizi wa CCM, sasa mtu ukiwa na kichwa panzi unaweza ukajiambia si unaona namna Lema anavyoungwa mkono na wakubwa wa CCM, kumbe ni mind game ya hao waCCM kutembea kwenye script ili azma yao iendelee kutimia
Umenena la maana mkuu me nasikitikia tu hawa wafuasi wa Mange walivyojijengea uaminifu kwake kwa kila analolisema,inafikirishaChadema ni chama cha demokrasia nadhani kila mtu aruhusiwe kuwa na maoni yake kila chama kina wahafidhina, waliberali na moderates maana wote hamuwezi kuwa na mtazamo sawa. So kama lema kakosea atahukumiwa na kamati kuu na sio kwingine.
Na kuhusu Mange aisee sielewi kwanini anapewa attention kiasi hiki, amekua kama msemaji wa Lissu na chadema kitu ambacho sio sawa. Ana haki ya kutoa maoni yake ila asiwe ndio chanzo cha kuaminika hadi kufikia stage chama kinataka kupasuka kisa mwanaharakati aliye nyuma ya keyboard.
Chama kinaendeshwa na vikao sio tweets za Mange. Chadema iheshimiwe na wote akiwemo Lema na Mange otherwise wasitutoe kwenye reli maana hii wiki ni ya muhimu zaidi pengine kuliko zote katika historia ya chadema I tunaishia kujadili Mange this Mange that.
My two cents.....
Thubutuu ,yani Mange ufatwe na Abdul mpaka kwako ulivyo unamsemaga ushindwe kutumia hiyo kama advantage kuprove kwa umma kuwa kweli Abdul asingiziwi😎,tapelo wa siasa,mchombaji na mchamaji🚮MANGE amedai Abdul alivyomfuata huko Marekani aligoma kuhongwa, alisimama kidete ila LEMA kanunulika.
Umeongea la maana sana mkuu,wacha aendelee kuwaokota mazuzu ,nawachukia sana wanaojiita wanaharakati huku wakishindwa kucheck and balance mambo kwa mizania ya uhalisia.Sasa wewe Mange, nawe unatueleza habari za Abdul kukutafuta, unavyo vielelezo vyovyote.
Huyu dogo na ushetani wake wote, anao ujasiri wa kununua watu kama bidhaa nyepesi hivi?
Mange, sikiliza. Ukinipa ushahidi usiokuwa na shaka wa wewe kutaka kununuliwa,
Mbona simple sana.Lema ukichunguza kiakili kile kakiongea nikama kaweka mtego mkubwa wa kiakili
Lema maelezo yake yote
Kaonesha uhai wa Umoja ndani ya Chadema
Lema kakwepa kumshambulia kiongozi mwenzako yoyote
Zaidi ya Mange na yule mwenzie
Sasa wafuasi wa Chadema kwasasa wanashambulia Lema mwenyewe
Chuki dhidi ya Lema inatokea wapi??
Kwani Lema kaongea nini mbaya kwaniaba ya Chadema na Viongozi wenzie ¿¿¿¿¿¿
Kitambo Lema Lema Lema mapinduzi sijui vile na vile
Sasa ajabu mlitaka akae kimya wkt yeye ndio mwenye kutupiwa mauchafu yote
kupanga Mapinduzi chamani nk.
Ni kweli kati yetu ungekuwa nanafasi ya Lema
Unabebeshwa mazigo ujui chanzo nini
Wanao kubebesha tuhuma hujui wametumwa nanani ndani ya Chama
Ngoja narudia tena !!
Lema kuongea kwa mtego mkubwa
Kajua mazuzu yatanasa na wale wenyekutumiwa watanasa!!
Lema kakwepa kukishambulia chama
lkn kulalamika kusingiziwa upumbavu tu
na kamtuhumu mwana CCM
Leo yeye
ndio m'baya mbele ya Mange!!!¿¿
Only GT can discern itPamoja na yote, Mange ni mkakati wa CCM!
Issue ni kuwa hakuna logic katika maneno ya lema, ni mpumbavu mmoja mwenye maneno mengi kama dada poa.Mange nonsense...
- Lema anadharauliwa sana na Abdul... ooh mimi Mange Abdul ananiheshimu sana..!
Hiyo heshima anayodai kupewa na Abdul yeye alijuaje kama anapewa?
Nae huwa anaongea na Abdul kwa simu sio!.
- Lema alipowekewa maburungutu ya pesa alitetemeka!, alikuwepo akamuona Lema akitetemeka?!
Anaishi kwa habari za kuambiwa kisha anaziamini kwa 100% then anataka na wengine tuziamini kama anavyoziamini yeye!
Kila siku ushahidi hana, ni kelele tu, ndio maana akipingwa anatishia kuwasemea wengine ili wafukuzwe U.S.
Kuwa mfuasi wa hiki kiumbe lazima uwe mjinga kama chenyewe, Lema aache kuhangaika na hii akili ndogo anapoteza muda.
Hakuna kitu kama hicho... Mange ni mwiba mbaya sana... Kwa wajinga. Mange angekuwa mkakati wala hata asingefungiwa ig yake..Pamoja na yote, Mange ni mkakati wa CCM!
Lema ni kiongozi naamini viongozi wa hicho chama wana njia nzuri zaidi ya kujibu tuhuma kuliko Kila mtu kuitisha press conference na kusema na wenyewe Kwa wenyeweChadema ni chama cha demokrasia nadhani kila mtu aruhusiwe kuwa na maoni yake kila chama kina wahafidhina, waliberali na moderates maana wote hamuwezi kuwa na mtazamo sawa. So kama lema kakosea atahukumiwa na kamati kuu na sio kwingine.
Na kuhusu Mange aisee sielewi kwanini anapewa attention kiasi hiki, amekua kama msemaji wa Lissu na chadema kitu ambacho sio sawa. Ana haki ya kutoa maoni yake ila asiwe ndio chanzo cha kuaminika hadi kufikia stage chama kinataka kupasuka kisa mwanaharakati aliye nyuma ya keyboard.
Chama kinaendeshwa na vikao sio tweets za Mange. Chadema iheshimiwe na wote akiwemo Lema na Mange otherwise wasitutoe kwenye reli maana hii wiki ni ya muhimu zaidi pengine kuliko zote katika historia ya chadema I tunaishia kujadili Mange this Mange that.
My two cents.....
Siku ukiona anachukua fomu nq kupata nafasi ndani ya chama/serikali utashangaa macho yako.Hakuna kitu kama hicho... Mange ni mwiba mbaya sana... Kwa wajinga. Mange angekuwa mkakati wala hata asingefungiwa ig yake..
Licha ya hivyo, wmtumeona walio kuwa mkakati walivyo malizwa
She's one of her kind, ni akili kubwa sana
Hivi unamjua Mange wewe?Siku ukiona anachukua fomu nq kupata nafasi ndani ya chama/serikali utashangaa macho yako.
Myu yoyote aliyekuwa ndani ya ccm, akachukua fomu kugombea nafasi yoyote ile, akashindwa, lazima awe bitter na utawala.
Ameenda Sa100 USA, huyo akili kubwa wenu alikuwa frontline kumpokea, ameona serikali haina time nae akaamua kugeuza kibao, likewise kipindi cha JPM, jamaa alivyompa kisogo ndio akaamua kumuangushia jumba bovu
Hata hivyo, anapokea taarifa, anatoa taarifa, sioni akili kubwa hapo.
Wewe ulikuwepooo?Mange anazuazua tu na kujaza watu chuki,kumtaja Abdul kila speech,pesa za damu za Abdul,Abdul ananyonya watu damu na kuuza Ili apate pesa?.. wakati lema anapewa pesa na Abdul na kutetemeka yeye mange alikuwepo?
Hujui maana ya mengi uliyoandika.Issue ni kuwa hakuna logic katika maneno ya lema, ni mpumbavu mmoja mwenye maneno mengi kama dada poa.
Hana akili yule, alikuwa anacheza na akili za wataz
Wewe pia ni mjinga maana hutaki nchi ikombolewe badala ya kuangalia validity na undani wa hoja za mange, umekuja na vibweka kama chura kiziwi.
She's so genius na kati ya wanawake wenye mesh ya logic na emotions mange namba moja, anakuchana ukweli hata kama unauma.
God bless lema hana balls.
Hakuna a point uliyo ongea, bado unaongea pumba tu...Hujui maana ya mengi uliyoandika.
Unapozungumzia logic kwa Lema ukaacha kuizungumzia kwa Mange ni ujinga wako wa kwanza.
Mange anatuhumu bila ushahidi, wewe unasema Lema mjinga kwa sababu amejibu kwa maneno matupu, ulitaka ajibu vipi kama tuhuma anazopewa ni za hewani?!
Nyie vichwa maji Mange amewakamata akili anawalisha pumba zake mnashiba vizuri sana, mnalala usingizi mzito mnajinenepea tu!.