Mange Kimambi amjibu Godbless Lema

Hakuna a point uliyo ongea, bado unaongea pumba tu...

Unaijua misingi ya chadema na Lissu mwenyewe?

Unafikiri Lissu angekuwa hajafungwa angemchagua Lema au mange? Kutokana na misingi ya chama?

Kuwa na akili basi
Hakuna pointi unayotetea unaandika pumba tu.

Lissu katoka wapi kwenye huu umbea wa Mange?

Unazungumzia misingi ya Chadema kwenye umbea wa Mange!

Acha umama mtoto wa kiume utaolewa.

Wewe siku zote unaonekana mapepe tu, sikushangai kumtetea Mange!
 
Hakuna pointi unayotetea unaandika pumba tu.

Lissu katoka wapi kwenye huu umbea wa Mange?

Acha umama mtoto wa kiume utaolewa.

Wewe siku zote unaonekana mapepe tu, sikushangai kumtetea Mange!
Kwani nini kinacho endelea Saizi katika hii nchi?

Political environment ikoje?

Press ya Lema ilikuwa na mchango upi katika kuikomboa nchi?

Tuliza hilo komwe kwanza na tafakari kwa kina
 
Kwani nini kinacho endelea Saizi katika hii nchi?

Political environment ikoje?

Press ya Lema ilikuwa na mchango upi katika kuikomboa nchi?

Tuliza hilo komwe kwanza na tafakari kwa kina
Lema alikuwa anajisafisha kwa umbea wa Mange unaoaminiwa na kidampa kama wewe.

Huu umbea wa Mange kwako ndio unakomboa nchi?!

Jamaa mshamba sana.. acha mapepe.
 
Lema alikuwa anajisafisha kwa umbea wa Mange unaoaminiwa na kidampa kama wewe.

Huu umbea wa Mange kwako ndio unakomboa nchi?!

Jamaa mshamba sana.. acha mapepe.
Hujajibu maswali yangu..

Unaruka ruka tu..
. Jibu hayo maswali ndo tuendelee
 
Hujajibu maswali yangu..

Unaruka ruka tu..
. Jibu hayo maswali ndo tuendelee
Nimekwambia Lema alikuwa anajisafisha kwa umbea wa Mange unaoaminiwa na kidampa kama wewe unasema sijajibu!

Unataka nikupe jibu unalotaka wewe? Huna akili.

Na unaposema upande wa pili Mange kamzidi akili mama yako ndio unaonesha kabisa ulivyo kiazi kitamu.
 
Anajisafisha?

Kama mwanasiasa mwenye akili timamu unaweza kuanza kukaa kwa press ujisafishe? Si utaonekana fala tu?

Lema hana point, na hakuna kitu alicho fanya pale kama sio kujidhalilisha tu
 
Hii inathibitisha hakuna aliye mbabe mbele ya pesa, hadi Lema? Hajui ame dissappoint watu wangapi waliomuamini na wanaotaka haki itawale. Mapambano ya haki ni magumu sana kwa kweli.
Nabii uchwara kafika Bei, chezea Meku weyeee, kwenye Pesa? Aloooo.
😂😂😂
 
Sijui mnamaanisha nini kusema Mange ana akili kubwa, ila kwa vile majority mnaona ana akili kubwa, no argument!
 
Hii inathibitisha hakuna aliye mbabe mbele ya pesa, hadi Lema? Hajui ame dissappoint watu wangapi waliomuamini na wanaotaka haki itawale. Mapambano ya haki ni magumu sana kwa kweli.
Wabongo ndivyo walivyo mazee ! 😁
Lakini muda ni ukuta yeyote yule hawezi kushindana nao 🙄 !
Just a matter of time !
 
Lema kathibitisha tuhuma zote ni ua kweli dhidi yake, wala hajakanusha.
Meku kafika Bei, Lol
 
Yaan shetani anajipenyeza ndani kabisa aharibu kiini cha msimamo wa haki.
 
So fuckk yourself
So hapo unaona umenitukana? Nipo JF 2010 hadi leo unahisi nshaona matusi mangapi? Umejiunga juzi 2024 unajiona mjuzi wa kutukana🤣 stress zako za maisha usizimalize kwangu. Nguruwe pita sina mkuki leo.
 
..Mange alimshambulia mpaka kaka na dada wa Tundu Lissu.

..mimi namuunga mkono Mange akishambulia Ccm, na sio Chadema.
Moja ya makosa makubwa yamefanyika/Yanafanyika ni kuwapa nafasi wanaharakati wasiojuwa siasa ni nini.

Siasa ni strategy ambazo mikakati lazima ibadirike kila inapoonekana mkakati fulani hauleti matokeo chanya.

Sasa watu na akili zao wanaendeshwa na mtu ambaye hata siku moja huwezi kumuona kwenye battle field kama huyu Mange na Maria mbaya zaidi wote ni wanawake wanawashika akili wanaume wazima na kende zao, aibu sana chama kinaendeshwa Twitter.
 
Au wewe ndo lema mwenyewe??
 
Sasa naamini Mange ana misukule yake mtandaoni, kama ulidhani unamjuwa basi hukuwahi kumjuwa.

Lowasa, Magufuli, Samia hawa wote walikuwa best zake na wakaja kugeuka maadui wakubwa unajuwa chanzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…