Mange kimambi amlipua tena Diamond shutuma za kudhulumu gari

Ray waniache

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
737
Reaction score
507

Malkia wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania mange kimambi amemjia juu diamond platnumz juu ya kumdhulumu mjane malipo ya gari alonunua
Kumbe diamond karanga sio za dai wala perfume sio zake heheee yeye kapiga tangazo tu
Amshutumu pia kwa kukataa watoto
Alichokiandika mange hiki hapa;----

Huyo mkataaa watoto hizo karanga hazimuhusuuuuu kabisaaaaaaa!!!! Yani ni Sawa na anavyofanyaga matangazo ya Vodacom alafu mmeseme vodacom ya kwake.... Hizo karanga za long time kishenziii tena zilikuwa zinauzwa tshs 200, kapewa matangazo basi... Hata perfume pia haimuhusuuuuu, keshapewa chake ila perfume ni ya Kusaga ndo anaepiga hela.....Nawashangaaga sana mnavyomuharakisha Kiba atoe bidhaa zake, ni bora atulie atoe kitu ambacho ni chake sio kunufaisha watu wengine abaki anajigamba kwa bidhaa ambazo hana hata shea kidunchu..
.
.
Sio kama namchukia ila ukweli ndo huo.....
.
.
Na nimetafutwa na ndugu zake mjane wa Seki yule alikuwa bwanake Lulu akafariki ghafla baada ya kuuwawa na majini ya Lulu, Jamani nataniaaaaaa [emoji85], wanadai kwamba mkataa watoto kamdhulumu mke wa Seck hiyo X6. Marehemu Seck alimuuzia mkataa watoto hiyo x6 kwenye birthday yake ya 2014 akawa kalipa pesa kidogo mnoooo sasa bahati mbaya Seki akafa ndo mkataa watoto nae kajikausha na deni la marehemu na X6 anaitimba tu, mke wa Seki kamdai hadi kachoka kabaki analia. Embu mwambieni amuoneee huruma mjane wa watu jamani, ajifikirie yeye afe leo alafu Zari na Hamisa wadhulumiwe huku wana watoto wadogo angejisikiaje huko kaburini??? Kweli angeresti in pisi??


Nb:Haki mpare unanifurahishaga hehee nakupenda mpaka usipopost mie presha ipo 360

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu binti anawaweka vijana bize ktk mitandao ya kijamii wanashindwa hata kufanya kazi na ninachosikitika hata magazeti yetu nayo yanamchukulia kama chanzo cha habari. Asilimia kubwa wanaomfuatilia huyu binti wengi wao wavivu wa kufikiri, hawapendi kujishughulisha kutwa kusubiri leo atapost nini,wengi wao ni low IQ. Haiwezakani kila kitu anajua yy siasa, uchumi mpaka maisha binafsi ya familia za watu yaani kwa kifupi chuki zimemjaa moyoni mpaka mungu anashindwa kumbariki na ashukuru ameolewa na mzungu lkn kama angeolewa na mbongo sasa angekuwa tayari kilema, kwa kauli zake mbovu. Ila ninachosikitika zaidi mdogo wangu ni mmoja wa wafuasi wake, yaani amekuwa mvivu, mmbeya kwa kifupi hana mda wa kuyatafakari maisha yake, yy kila sawa na simu mpaka najuta kumnunulia simu, kila mara yupo instagram kwa huyo mange, sasa sijui labda anatoaga ela au huo uzushi wake ndio anaupenda.Nitasikitika zaidi kama Kuna watoto wa kiume nao wanamfuatilia huyu binti, basi nitakuwa na wasi wasi na ulijali wao.
 
Ile ndoa na mzungu mbona ili RIP sikunyingi shetani aliipenda zaidi
 
Chefuuuu peleka ufukunyuuu wako kule kwendraaaaa duduuu mchicha poriiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti huyu nae Mama, duh!!! Embu fikiria kwa mfano mamaako ndio anaandika mambo kama haya. Mimi ningehama Sayari hii kabisaaa nikaishi Jupiter
 
Hizo karanga mbona zinajieleza zenyewe kuwa ni za kampuni ya smart, nashaanga wabongo mnavyomuita diamond muuza karanga wakat yeye ni advertiser tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…