Nipo mtandaon naandika magazeti ya kuchamba watu walionizid income?
Haya ndugu, ni mtazamo na kila mtu ana mtazamo tofauti katika maisha.Nipo mtandaon naandika magazeti ya kuchamba watu walionizid income?
Mwanaume mwenzio huyo unasema mashallah!!?Mashallah weyeeeee
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Toka umeanza kugawa 0713 umedata kabisa
Mwenzio yupo kaziniYan mange yule huo muda anaochamba angetafuta tu kazi ya kufanya. Mwanamke muda wote mtandaoni anasema watu. Google yenyewe kuna wakati inakosa majibu sembuse mange.
Ni mpumbavu wa kutupwa
Embu weka yako tuone?Alivyopauka vile hizo hela angeenda kununua mafuta ya korie apake,kakondeana maskini hadi huruma,sura imempalama utadhan ana utapiamlo
Embu weka yako tuone?
Na muache kumfollow sio mnaleta unafki na kumfollow mnamfollow
invest what you are willing to loose
Mwenzio yupo kazini
Je wewe hapa kumdiss umelipwa ngapi? Maana mwenzio anaingiza
invest what you are willing to loose
Mshangae. Kila kitu kinapatikana kila kona siku hizi.Nini sura hata umbo nakuonyesha
View attachment 573086
Shosti sio kila mtu yupo insta bibie mambo yote google na JF kila kitu tunapata
Mmmmmh kumbe kipusa....ndukiiiiiMwanaume mwenzio huyo unasema mashallah!!?
PoleeMmmmmh kumbe kipusa....ndukiiiii
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Asante kwa kunishtua maana nilikua naingia PM sasa iviPolee
Si unamsabahi tu...teh..kwani wanaume hamfatani pm kuongea mambo yenu?Asante kwa kunishtua maana nilikua naingia PM sasa ivi
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Hapo sasa,kwake yeye betina ndo googleKama anafanya kazi aoneshe bank statement na payslip.
Mshangae. Kila kitu kinapatikana kila kona siku hizi.
Kama huyo betina ana u special gani mpaka usipomfollow ukose kula