Mange kimambi amlipua tena Diamond shutuma za kudhulumu gari

Umenifanya nicheke! Post yako ni namba 8 katika kuchangia! Yaani hupishani na mtu ambaye kakutana na mwenzie barabarani halafu anamlalamikia mwenzie kuwa mtembezi!
Wewe usingekuwa unapoteza muda wako mwingi kwenye mitandao ungekuwa namba 8 katika kuchangia hapa?
Suala la kupoteza muda hapa jukwaani halina msingi wowote... Usiwafanye Vijana wenzio hawana akili bali wewe unazo! Hakuna tofauti yoyote kati yako na hao Vijana!
Wewe unawezaje kuja jf huku unafanya kazi zako? Je, wenzio hawawezi? Unaweza kukuta mashabiki wa Mange wanakuzidi kipato maradufu! Wengine wana kazi za maana kuliko wewe...usiongozwe na hisia katika kuwanyooshea wengine kidole!
Nachokushauri ni kuacha kujiona una IQ ya juu wakati huna uwezo hata wa kujua tofauti yako na unaowashutumu!
Zingatia mantiki ya hoja wanazotoa, na sio muda wanaoutumia kutoa hizo hoja!
 
Ile ndoa na mzungu mbona ni RIP sikunyingi shetani aliipenda zaidi
Unaonyesha wewe pia huwa unamfuatilia sana Mange! Umeyajuaje hayo yote? Umejuaje kaolewa na Mzungu? Umejuaje anajifanya anajua kila kitu?
Binafsi huwa nafuatilia hoja za huyo Binti, nyingi zinafikirisha na kuibua mjadala, lkn pia zipo zenye mapungufu, bahati nzuri huwa anakiri udhaifu huo pindi akijua ukweli....jambo ambalo pengine wengi wetu hatuna ujasiri huo!
Usilazimishe kila mmoja afikiri kama wewe! Binadamu hufanana kufikiri wakiwa maiti, tofauti na hilo kamwe hawawezi kufanana!
Udhaifu wa Mdogo wako unatokana na udhaifu wako katika kumpa malezi stahiki! Huoni aibu kusema umemnunulia Mdogo wako simu na inampotezea muda wake mwingi? Unadhani tatizo ni la nani kati ya Mdogo wako na wewe?
 
Siku ile nilikuuliza ukunijibu.

Nakuuliza tena wewe ni wa Kike au wa Kiume?!
Muombe mbunye tu mkuu

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Kwani katukana mtu? We mshamba kweli hayo ndo madhara ya kuzaliwa kishmundu huko interior huko

Sent using Jamii Forums mobile app


We shoga acha madharau, FYI mi ni city boy wa kweli wala sio wa kuungaunga huko kwenu kwa Mtogole. Grew up in Mansfield street na nimesoma shule ya msingi Jamhuri.
 
Povu loteee huna lolote we wa mikoani tu swaggga za mjini huna

Sent using Jamii Forums mobile app


Anyway, usiwadharau watu wa mikoani. Babaako katokea huko huko. Ka struggle sana mpaka kaja town ndio wewe ukazaliwa Mwananyala. Kwahiyo usitukane Wahenga wa kwenu, babaako angeamua kuishi kwao na we ungezaliwa hukohuko na huo ushoga wako kijijini wangekutafuna kama kuku
 
We shoga acha madharau, FYI mi ni city boy wa kweli wala sio wa kuungaunga huko kwenu kwa Mtogole. Grew up in Mansfield street na nimesoma shule ya msingi Jamhuri.
Huku kwetu Kwamtogole kuna nini tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…