Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,931
- 3,177
Kama aliyeleta Post Hii ya Mamge Hapa ni Mwanaume basi anapumuliwa
Malkia wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania mange kimambi amemjia juu diamond platnumz juu ya kumdhulumu mjane malipo ya gari alonunua
Kumbe diamond karanga sio za dai wala perfume sio zake heheee yeye kapiga tangazo tu
Amshutumu pia kwa kukataa watoto
Alichokiandika mange hiki hapa;----
Huyo mkataaa watoto hizo karanga hazimuhusuuuuu kabisaaaaaaa!!!! Yani ni Sawa na anavyofanyaga matangazo ya Vodacom alafu mmeseme vodacom ya kwake.... Hizo karanga za long time kishenziii tena zilikuwa zinauzwa tshs 200, kapewa matangazo basi... Hata perfume pia haimuhusuuuuu, keshapewa chake ila perfume ni ya Kusaga ndo anaepiga hela.....Nawashangaaga sana mnavyomuharakisha Kiba atoe bidhaa zake, ni bora atulie atoe kitu ambacho ni chake sio kunufaisha watu wengine abaki anajigamba kwa bidhaa ambazo hana hata shea kidunchu..
.
.
Sio kama namchukia ila ukweli ndo huo.....
.
.
Na nimetafutwa na ndugu zake mjane wa Seki yule alikuwa bwanake Lulu akafariki ghafla baada ya kuuwawa na majini ya Lulu, Jamani nataniaaaaaa [emoji85], wanadai kwamba mkataa watoto kamdhulumu mke wa Seck hiyo X6. Marehemu Seck alimuuzia mkataa watoto hiyo x6 kwenye birthday yake ya 2014 akawa kalipa pesa kidogo mnoooo sasa bahati mbaya Seki akafa ndo mkataa watoto nae kajikausha na deni la marehemu na X6 anaitimba tu, mke wa Seki kamdai hadi kachoka kabaki analia. Embu mwambieni amuoneee huruma mjane wa watu jamani, ajifikirie yeye afe leo alafu Zari na Hamisa wadhulumiwe huku wana watoto wadogo angejisikiaje huko kaburini??? Kweli angeresti in pisi??
Nb:Haki mpare unanifurahishaga hehee nakupenda mpaka usipopost mie presha ipo 360
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli. Mambo mengi anayoongea yanakuja kuanikwa baadaye... Umefanya research gani na kujua wote wanaomfollow ni wavivu?Huyu binti anawaweka vijana bize ktk mitandao ya kijamii wanashindwa hata kufanya kazi na ninachosikitika hata magazeti yetu nayo yanamchukulia kama chanzo cha habari. Asilimia kubwa wanaomfuatilia huyu binti wengi wao wavivu wa kufikiri, hawapendi kujishughulisha kutwa kusubiri leo atapost nini,wengi wao ni low IQ. Haiwezakani kila kitu anajua yy siasa, uchumi mpaka maisha binafsi ya familia za watu yaani kwa kifupi chuki zimemjaa moyoni mpaka mungu anashindwa kumbariki na ashukuru ameolewa na mzungu lkn kama angeolewa na mbongo sasa angekuwa tayari kilema, kwa kauli zake mbovu. Ila ninachosikitika zaidi mdogo wangu ni mmoja wa wafuasi wake, yaani amekuwa mvivu, mmbeya kwa kifupi hana mda wa kuyatafakari maisha yake, yy kila sawa na simu mpaka najuta kumnunulia simu, kila mara yupo instagram kwa huyo mange, sasa sijui labda anatoaga ela au huo uzushi wake ndio anaupenda.Nitasikitika zaidi kama Kuna watoto wa kiume nao wanamfuatilia huyu binti, basi nitakuwa na wasi wasi na ulijali wao.
Huyu binti anawaweka vijana bize ktk mitandao ya kijamii wanashindwa hata kufanya kazi na ninachosikitika hata magazeti yetu nayo yanamchukulia kama chanzo cha habari. Asilimia kubwa wanaomfuatilia huyu binti wengi wao wavivu wa kufikiri, hawapendi kujishughulisha kutwa kusubiri leo atapost nini,wengi wao ni low IQ. Haiwezakani kila kitu anajua yy siasa, uchumi mpaka maisha binafsi ya familia za watu yaani kwa kifupi chuki zimemjaa moyoni mpaka mungu anashindwa kumbariki na ashukuru ameolewa na mzungu lkn kama angeolewa na mbongo sasa angekuwa tayari kilema, kwa kauli zake mbovu. Ila ninachosikitika zaidi mdogo wangu ni mmoja wa wafuasi wake, yaani amekuwa mvivu, mmbeya kwa kifupi hana mda wa kuyatafakari maisha yake, yy kila sawa na simu mpaka najuta kumnunulia simu, kila mara yupo instagram kwa huyo mange, sasa sijui labda anatoaga ela au huo uzushi wake ndio anaupenda.Nitasikitika zaidi kama Kuna watoto wa kiume nao wanamfuatilia huyu binti, basi nitakuwa na wasi wasi na ulijali wao.
Nisengelema lisiokuwa nakazi mjini lipolipo tu na sim yake ya social mediaKama aliyeleta Post Hii ya Mamge Hapa ni Mwanaume basi anapumuliwa
Mange kachanganyikiwa na maisha, mzungu keshampiga chini zamani anategemea child support kwahiyo kwake watu wenye mafanikio ni maadui zake,Mange alikuwa Enzi zile marafiki zake wakina Mwamvita Makamba na Enzi za Blog ya Uturn saa hizi kwisha Habari yake kabaki kuruka ruka kama pop corn kwenye sufuria Hana pakushika Mara Zari,Mara Diamond, Mara Makonda.Huyu binti anawaweka vijana bize ktk mitandao ya kijamii wanashindwa hata kufanya kazi na ninachosikitika hata magazeti yetu nayo yanamchukulia kama chanzo cha habari. Asilimia kubwa wanaomfuatilia huyu binti wengi wao wavivu wa kufikiri, hawapendi kujishughulisha kutwa kusubiri leo atapost nini,wengi wao ni low IQ. Haiwezakani kila kitu anajua yy siasa, uchumi mpaka maisha binafsi ya familia za watu yaani kwa kifupi chuki zimemjaa moyoni mpaka mungu anashindwa kumbariki na ashukuru ameolewa na mzungu lkn kama angeolewa na mbongo sasa angekuwa tayari kilema, kwa kauli zake mbovu. Ila ninachosikitika zaidi mdogo wangu ni mmoja wa wafuasi wake, yaani amekuwa mvivu, mmbeya kwa kifupi hana mda wa kuyatafakari maisha yake, yy kila sawa na simu mpaka najuta kumnunulia simu, kila mara yupo instagram kwa huyo mange, sasa sijui labda anatoaga ela au huo uzushi wake ndio anaupenda.Nitasikitika zaidi kama Kuna watoto wa kiume nao wanamfuatilia huyu binti, basi nitakuwa na wasi wasi na ulijali wao.
Mange kachanganyikiwa na maisha, mzungu keshampiga chini zamani anategemea child support kwahiyo kwake watu wenye mafanikio ni maadui zake,Mange alikuwa Enzi zile marafiki zake wakina Mwamvita Makamba na Enzi za Blog ya Uturn saa hizi kwisha Habari yake kabaki kuruka ruka kama pop corn kwenye sufuria Hana pakushika Mara Zari,Mara Diamond, Mara Makonda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Point.Umenifanya nicheke! Post yako ni namba 8 katika kuchangia! Yaani hupishani na mtu ambaye kakutana na mwenzie barabarani halafu anamlalamikia mwenzie kuwa mtembezi!
Wewe usingekuwa unapoteza muda wako mwingi kwenye mitandao ungekuwa namba 8 katika kuchangia hapa?
Suala la kupoteza muda hapa jukwaani halina msingi wowote... Usiwafanye Vijana wenzio hawana akili bali wewe unazo! Hakuna tofauti yoyote kati yako na hao Vijana!
Wewe unawezaje kuja jf huku unafanya kazi zako? Je, wenzio hawawezi? Unaweza kukuta mashabiki wa Mange wanakuzidi kipato maradufu! Wengine wana kazi za maana kuliko wewe...usiongozwe na hisia katika kuwanyooshea wengine kidole!
Nachokushauri ni kuacha kujiona una IQ ya juu wakati huna uwezo hata wa kujua tofauti yako na unaowashutumu!
Zingatia mantiki ya hoja wanazotoa, na sio muda wanaoutumia kutoa hizo hoja!
AaaaaaaaaahIle ndoa na mzungu mbona ni RIP sikunyingi shetani aliipenda zaidi
Me pia nilidhania ni KE mwenzenu kumbe ni MEMwanaume mwenzio huyo unasema mashallah!!?
hatumii kipusa mkuu