Mange Kimambi ampigia kura Daimond

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
CHINEKEEE NAANZAJE KUMVOTIA MNAIGERIA MBELE YA MTANZANIA KWA MFANO???

Guys, acheni haya mambo jamani…. Mnaenda too far with this jamani… Tunajiaibisha sana watanzania… Busy kwenye ma insta page ya wanaigeria. English zeneyewe hamjui mnaishia kuchambwa na wanaigeria…

Yani tunazidi onekana mabolizozo….. Jamani kweli mnaenda kujipendekeza kwa wanaigeria hivyo..AIBUUUU

Kuweni wazalendo jamani. Diamond hayuko huko kama Diamond ,He is there carrying our flag. Yuko hapo kama Diamond from Tanzania.

Jamani naomba msome hapo pameandikwaje chini ya jina la Diamond? TANZANIA…

Hivi Diamond kaua mtoto wa nani mpaka tuko tayari kuididmiza nchi yetu sababu yake??? Yani huwezi kudharau maujinga yake ukampigia kura sababu ya Tanzania.AIBUUU

You know what, naipenda Tanzania kwanza so no matter Diamond kafanya nini nimemvotia Diamond mpaka vidole vimeumaaaa….

Na kesho nikiamika namvotiaaa…Bado sijamvotia Davido aiseeeeee…..Sio kwamba simkubali ila sio mbele ya mtanzania mwenzangu…

Hivi Diamond kuna alofanya kubwa sana mpaka tumchukie hivi jamani??? Its true dogo anazingua kishenzi ila sio kiasi cha kumchukia hivi….

Mie naomba tumvotie then awards zikiisha turudi kumchukia……hahahaha. Tena na swaumu itakuwa imekwisha na posti zake na Zari zinaanza tena…hahahahahhahaa.. I enjoy hating on those 2….hahhahahhahahahhahahaahah……

Ila kusema ukweli sina chuki serious hivyo na Diamond kha!!! Mpaka nikamvotie mnaigeria jamani….Na kwenye best collabo nimepiga kura pia mpaka vidole vimeota suguuuuuuuu…..Hahahaha…

Haya twende na wewe kampigie kura Diamond…… Akishachukua hizo awards ndo turudi kwenye team zetu for now tuungane plsssss….

Yani jamani ni ujingaaaaa, hivi unajua siamini hii kitu ya Diamond, Zari na Wema imekuwa bonge la issue hivi…Dah…..

Im sure management yake watamrekebisha baada ya haya majanga yaliyotokea lately…Ila pls mvotieni..

Hisani: Mange Kimambi



 
huyu dogo kama sikosei alisema hataki tena tuzo maana kabati lake la tuzo limeshajaa... mambo mengine unafanya asubihi jioni unajuta... akikaa kimya itamsaidia si kila kitu lazima ujibu
 
Yani sahivi diamond kama msosi vile....asubuhi diamond, mchana diamond usiku diamond
oopppssss "ila kwanini atuache sie wanawake wa Tanzania amchukue mganda?" Ha ha ha sijapenda hiyo ila navote navote navote tu....#kirohombaya


Maisha ndivyo yalivyo! Kuna wanawake wa Kitanzania pia wameacha wanaume watanzania na kuchukuliwa na wa nje!.
 
Maisha ndivyo yalivyo! Kuna wanawake wa Kitanzania pia wameacha wanaume watanzania na kuchukuliwa na wa nje!.
Basi wanaume wa kitz mna roho nzuri kuona wanawake wanachukuliwa na watu wengine mmeuchuna, sie wanawake tuna hasira na roho zinauma hatukubali kwakweli diamond katudhalilisha ha ha ha ha ila kura nampigia kila siku kila dakika #kirohombaya
 
Kweli inasikitisha kusoma waTanzania huko wanavyotia aibu kutuweka kama sote sawa.

Yaani nilisomaga juzi uwiiiiii aibu huko kwa Davido basi hata ile ya kusemwa kapewa nominations 9 ktk miaka miwili...unakuta wa TZ wanasema oyeee tutakupigia kura ushinde zote mwaka huu hicho kiingilishi basi shida maana hata kuelewa wanaona namba haooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…