Mange Kimambi ampigia kura Daimond

Hongera Mange kwa kuonyesha utofauti wa shule. Sasa humu Jamii forums kuna wauza P ambao hawaelewii kitu sababu ya elimu yao ndogo. Mange umeonyesha ukomavu na ume prove kama kweli una MBA. Education is sexy:first:
 
christmas ameomba sababu za kwako wewe na sio za hao wengine unaosema eti kuna nyuzi kibao. Taja sababu zako wewe.

mkuu bora unisaidie maana nilisoma akili nikaona najisumbua na kama hao wapo wengi tu wenye chuki za kufata mkumbo
 
huyu dogo kama sikosei alisema hataki tena tuzo maana kabati lake la tuzo limeshajaa... mambo mengine unafanya asubihi jioni unajuta... akikaa kimya itamsaidia si kila kitu lazima ujibu

Ni wapi Diamond amejuta? Hebu tembelea page yake kama unadhani ana time na haters. Hawa hawamshangazi kv hawajaanza leo. Hater pekee ambae amejibu siku za karibuni ni huyu hapa:
View attachment 262353

Kwahiyo kazaneni tu vijana wala msiwe na hofu!!! Lakini sometimes akili za kuambiwa changanya na zako na hata kama ingekuwa ni kweli Diamond sio msanii wa kwanza Tanzania kuzi-dis tuzo za KTMA!
 
Heheeeeee
 

Attachments

  • wp_ss_20150621_0003.png
    57.8 KB · Views: 227
Hajielewi jina lake linafanana na matendo yake mpika sumu huyo, eti mtu kanituma mfyuuuu akafie huko kwenye sever za jf


eti atumwee hhhhhaaaa,alijituma mwenyewe
 
Mie niliusoma nakuta nimetajwa na umefungwa mambo ya jf app kupitwa pitwa, nilikosa kujiburudisha mule.


ndio hivyoo unajua ukiteta watu pm lazima ujishuku kua nawe unatetwa kumbe walllaaa
 
huyu dogo kama sikosei alisema hataki tena tuzo maana kabati lake la tuzo limeshajaa... mambo mengine unafanya asubihi jioni unajuta... akikaa kimya itamsaidia si kila kitu lazima ujibu

Uwe una hofu ya Mungu, kusema uongo ni dhambi kubwa sana kwa mwanadamu. Ni bora ukawa kimya kuliko kuzua mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…