Ray bayb
Senior Member
- Sep 1, 2018
- 184
- 443
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu long time upooNAONA THREAD YA JUMA LOKOLE NA BARNABA BOY IMEFUTWA BAADA YA KUANZA KUWAGUSA WCB...MNGEICHIA TUACHIE KOMBORA LENU HUWAGA ANAFANYAGA NINI NA BOSS WENU HUYO.TUNAWASTAHI TU MNAJIFANYA WAJAANJAAAA KULIILIA MODS WAFUTE THREAD MBONA NYIE MLINUNUA CLIP YA NANDY NA BILLNAS NA KUISAMBAZA
nipo aisee,nilikuwa kwenye mapambano mazito tangu jana ya kuuambia umma wa Tanzania ukweli kuhusu utapeli uliopo njiani kuja kuhusu movie ya australia iliyoongezewa vipande vichaache vya kina wema,kwa kifupi wamefanya REMIX YA MOVIE WALA SIYO REMAKE
Weeeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....haki ni wangese Hawa, hata mimi sikuelewa kitu kabisa, mara wazungu mara wema, aunt...nikasema duu Zama tajiri asee[emoji848][emoji848]nipo aisee,nilikuwa kwenye mapambano mazito tangu jana ya kuuambia umma wa Tanzania ukweli kuhusu utapeli uliopo njiani kuja kuhusu movie ya australia iliyoongezewa vipande vichaache vya kina wema,kwa kifupi wamefanya REMIX YA MOVIE WALA SIYO REMAKE
AISEE WE JAMAA .MBONA UNA WASIWASI SANA NA ISSUE YA USHOGA?AU NAWE KUKU MTAMU?MI MTU WA VIJIWE SANA,WASANII WENGI ASILIMIA 60 NI MASHOGA ,KUNA DJ MMOJA NILIONYESHWA HADI VIDEO YAKE AKILIWA MSAMBWANDA ZENJI NAMUANGALIAGA NA MASHAUZI YAKE NAMUONEA HURUMA ILA KUNDI LAO WANA DHARAU SANA SIKU IKIACHIWA SIJUI ITAKUWAJE,WATU WANAWASTAHI WAO KAZI KUHARIBIA WENGINE