Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

vuta kipisi pale central utajua kama kutumia ni makosa au la??
 
Jee na hiyo misokoto ya bangi iliyokutwa nyumbani kwake?????????????
 
Hata alipompiga warioba waliweka usawa wazee na vijana. Big up Makpnda
 
Hata alipompiga Warioba alikua anaplay safe. What a joke!!
 
Watu ni kweli wana akili lakini sio huyo Makonda. Alimpiga Warioba na alifunga viatu vya riz1.
 
Wakati mwingine sawa tunamuelewa. LAKINI wakati flani flani anakuwa kama amerukwa na akili kidogo. Saikolojia inatambua kwamba: Mtu anayeandika maneno mengi kama anaongea au anaandika yote anayoongea ana walakini kwenye akili yake.
 
hahahahaaaaa
 
Huo usalama wa taifa wa kumtukana Rais na kumdhalilisha ,hiyo nayo mpya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…