Mwanadada maarufu mitandaoni, Mange Kimambi, ameyaandika yafuatayo kwenye ukurasa wake wa Instagram kufuatia sakata la Wema Sepetu kuitwa Polisi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kutoa maelezo kuhusiana na tuhuma za kujihusisha na dawa za kulevya.
Mkuu wananchi tunaomba uchukue kesi ya Wema probono.
Tena sio kumtoa ndani tu, tunaomba umfunze Makonda adabu by during him and the city for defamation wamlipe Wema mabilioni kama Yale Togo waliambiwa walipe....
Please please Albert tunaomba, Wema kutoka ndani sio solution kabisa, wameshamwalibia maisha yake, hawezi kufanya Kazi na kampuni yoyote ile kubwa,
Please please tunakuomba au kama vipi tujichange tukulipe".
Hadi sasa wasanii walioitwa kuhojiwa bado wanashikiliwa na jeshi la polisi. Wasanii hao ni pamoja na TID, Nyandu Toz, Recho, Babuu wa Kitaa na wengineo..