Ameharibu mtoto gani kwa lipiKama ushahidi upo, huyo wema afungwe tu;
wameharibu watoto wetu, wafungwe tu hakuna namna;
Makonda go, go, go. Mungu atakuwa pamoja na wewe.
Kutajwa sio kudhibitisha! Hivi Mimi nikakutaja wewe unajiuza ni kweli unajiuza?Kwani ni mara ya kwanza huku jf kutaja wema kuwa mbuya unga?
Kwanini hamkumshauri aache kama mlikuwa na uchungu naye?
Kuhojiwa au kutiliwa shaka si tatizo maana bila kuhoji au kutilia shaka upelelezi hauwezi kuanza hivo kesi haiwezi kuanza, so hizi ni hatua za awali kama hawana kosa they will be freeHivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?
Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.
Makonda hajui anachokifanya
Period
Kwani walioitwa wameshatiwa hatiani? Kutiwa hatiani ninini, tuanzie hapo.Hivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?
Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.
Makonda hajui anachokifanya
Period
Ukweli Mama yako alijiuza ndipo ukazaliwa wewe.Kutajwa sio kudhibitisha! Hivi Mimi nikakutaja wewe unajiuza ni kweli unajiuza?
Acha wenda wazimu, tena shikaadabuyako;Ameharibu mtoto gani kwa lipi
Mkuu huoni nimecopy na kupasteHuu uandishi ni wa Mange Kimambi mwenyewe, kumbe ndo unajiita brave one. Hivi Mange Kimambi yeye kama yeye anamchango gani katika taifa hili, na huo uzalendo wake uko wapi. Yaani yeye baada ya kukosa ubunge wa viti maalum aligeuka adui wa kila mwana ccm, huwa najiuliza angepata huo ubunge angeweza kuwa anaropoka hayo anayo ropoka kila leo.
Wamelala hukoHivi wamerudishwa uraiani au wamelala huko huko?
Sasa yeye si anamtetea mtu wake? Kwa hiyo wewe ukiona mwanao anateketea kwenye moto utasubiria mpaka zimamoto si unamtoa wako?Kwan wema ndo nani, ina mana watu wote walioitwa pale hawajaonekana au wao hawajazaliwa kwa uchungu???
Nimegusa gololi nini mbona unawaka wakati mm nimetoa example?Ukweli Mama yako alijiuza ndipo ukazaliwa wewe.
Ohooo!![emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Msando mwenyewe atakuwa zungu la unga,maana ukaribu wake na akina AY,petit man et al unaleta maswali
Umeingia menopause nn? Mbona unawaka bila sababu?Acha wenda wazimu, tena shikaadabuyako;
Duh!!!!Ukweli Mama yako alijiuza ndipo ukazaliwa wewe.
Ohoooo!!!Wapo ndani bado mahojiano yanaendelea
Mkuu kwani AY naye ni zungu?Msando mwenyewe atakuwa zungu la unga,maana ukaribu wake na akina AY,petit man et al unaleta maswali
mange ni demu mmoja hivi na kijitabia cha maneno ya kwenye KhangaHivi mange na makonda walichukuliana demu