Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

Hivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?

Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.

Makonda hajui anachokifanya
Period
Kuhojiwa au kutiliwa shaka si tatizo maana bila kuhoji au kutilia shaka upelelezi hauwezi kuanza hivo kesi haiwezi kuanza, so hizi ni hatua za awali kama hawana kosa they will be free
 
Hivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?

Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.

Makonda hajui anachokifanya
Period
Kwani walioitwa wameshatiwa hatiani? Kutiwa hatiani ninini, tuanzie hapo.
 
Huu uandishi ni wa Mange Kimambi mwenyewe, kumbe ndo unajiita brave one. Hivi Mange Kimambi yeye kama yeye anamchango gani katika taifa hili, na huo uzalendo wake uko wapi. Yaani yeye baada ya kukosa ubunge wa viti maalum aligeuka adui wa kila mwana ccm, huwa najiuliza angepata huo ubunge angeweza kuwa anaropoka hayo anayo ropoka kila leo.
Mkuu huoni nimecopy na kupaste
 
Back
Top Bottom