Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Mwanadada maarufu mitandaoni, Mange Kimambi, ameyaandika yafuatayo kwenye ukurasa wake wa Instagram kufuatia sakata la Wema Sepetu kuitwa Polisi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kutoa maelezo kuhusiana na tuhuma za kujihusisha na dawa za kulevya.

Mkuu wananchi tunaomba uchukue kesi ya Wema probono.
Tena sio kumtoa ndani tu, tunaomba umfunze Makonda adabu by during him and the city for defamation wamlipe Wema mabilioni kama Yale Togo waliambiwa walipe....

Please please Albert tunaomba, Wema kutoka ndani sio solution kabisa, wameshamwalibia maisha yake, hawezi kufanya Kazi na kampuni yoyote ile kubwa,

Please please tunakuomba au kama vipi tujichange tukulipe".

Hadi sasa wasanii walioitwa kuhojiwa bado wanashikiliwa na jeshi la polisi. Wasanii hao ni pamoja na TID, Nyandu Toz, Recho, Babuu wa Kitaa na wengineo..
 
Hivi Mange Kimambi yeye kama yeye anamchango gani katika taifa hili, na huo uzalendo wake uko wapi. Yaani yeye baada ya kukosa ubunge wa viti maalum aligeuka adui wa kila mwana ccm, huwa najiuliza angepata huo ubunge angeweza kuwa anaropoka hayo anayo ropoka kila leo.
 
Hivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?

Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.

Makonda hajui anachokifanya
Period
 
Back
Top Bottom