Mange Kimambi apunguza stress kwa Dully Sykes

Mange Kimambi apunguza stress kwa Dully Sykes

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mwanamama maarufu mwenye haiba ya kipekee mjini, mange kimambi, hivi karibuni aliwaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya ku post video akicheza wimbo wa mwanamuziki mkongwe nchini, dully Sykes uitwao INDE. mwanamama huyo alionyesha umahiri wake kwa ku dance kwa mbwembwe na madoido akiwapa tafsiri mashabiki wake kuwa mambo yake super na hana stress baada ya ndoa yake na mzungu kuota mbawa .

Hata hivyo baadhi ya mashabiki wa mwanamama huyo wametafsiri kitendo hicho kama ni stress zinazomsumbua na alikua anajaribu kujifariji kwa kucheza wimbo wa mwanamuziki huyo na kusifia ujio wake mpya.

Binafsi hata mimi nimetokea kuupenda wimbo huo wa dully Sykes kwani unaburudisha na kuondoa stress, kama unabisha jaribu kuusikiliza peke yako chumban kama hujajikuta unakata mauno bila kupenda, shikamoo mange
 
Kwenye Inde. Ni hatari sana Gigy Money Mh Mh Mh Mh anapata mauno kama kavurugwa
 
Back
Top Bottom