Mange Kimambi asifu ujasiri wa Maxence Melo

Huwa najiuliza Huyu Max akibanwa kimafya akatakiwa atoe data base ya users wa JF kweli Ana uwezo wa kukaza?

Achana na Mambo ya Mahakama kwa mfano akipelekwa kule Ununio kwa vijana wa Kazi?
tulia weweee
 
Dkt Shika aliwahi kukutana na Hao wakufunzi wa kule KGB mpaka Leo Kuna Nati haijakaza kichwani
Hahahahaaaa,,,,mkuu ila hawa kina yericko hawajawahi kupewa kibano chochote kile
 
Huwa najiuliza Huyu Max akibanwa kimafya akatakiwa atoe data base ya users wa JF kweli Ana uwezo wa kukaza?

Achana na Mambo ya Mahakama kwa mfano akipelekwa kule Ununio kwa vijana wa Kazi?
Tumejengewa woga, kwani unafanya kosa gani kubwa? Mbona FB wadau wanatukana matusi ya nguoni tena wakiwa na majina na picha zao pamoja na conections zote!! Tupiganie uhuru wa kujieleza, tuzoee kusikia hata ambacho hatukipendi ili mradi hakivunji sheria na kanuni za nchi yetu
 
Hahahahaaaa,,,,mkuu ila hawa kina yericko hawajawahi kupewa kibano chochote kile

Sasa hata hajaanza kuulizwa kishaamkia Watu wote Chumbani na kuanza kutoa Siri zote hata za mambo binafsi unadhan watamtesa? Kwanza ukimtazama tu kakaa ki kunguru kunguru kwa uoga
 
Tumejengewa woga, kwani unafanya kosa gani kubwa? Mbona FB wadau wanatukana matusi ya nguoni tena wakiwa na majina na picha zao pamoja na conections zote!! Tupiganie uhuru wa kujieleza, tuzoee kusikia hata ambacho hatukipendi ili mradi hakivunji sheria na kanuni za nchi yetu

Hilo swali muulize Max Kwanini hakutoa data base? Kwanini Wewe usie muoga mpaka Leo unatumia Jina la kichina?
 
Mange apambanena hali yake aachane kabisa na mello

Huyu mange ni mpuuz umarufu wake had aupatie kupitia migongo ya watu

Mello kapambana peke yake huyu mange akiwa ccm na hata kama leo hii mange akipewa cheo na ccm atamugeuka mello

Mange ni mpuuz kinachomusumbua ni njaa tu
 
Mange ni mwehu anahangaika na njaaa....na ameshasema siku ikitokea paaap magu kampa ubalozi anaachana na hiko achokiita uanaharakati na page yake anawakabidhi uvccm .....Hamna MTU pale kama wewe ni mfuasi wa mange andika umekula hasara
 
Mods mange akijiunga jamii forum mpigen ban ya maisha

Hatutak matus huku
 
Mange apambanena hali yake aachane kabisa na mello

Huyu mange ni mpuuz umarufu wake had aupatie kupitia migongo ya watu

Mello kapambana peke yake huyu mange akiwa ccm na hata kama leo hii mange akipewa cheo na ccm atamugeuka mello

Mange ni mpuuz kinachomusumbua ni njaa tu
Mkuu Mange akikuskia, usiku huu huu anakupost.
 
Back
Top Bottom