christelly
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,462
- 1,466
In maulids' kitenge voice... Efmau katumwa nini
Relax ukute ashatoa kila kitu
Unauliza embe kibada???Kuna watu wamesomea jinsi ya kumtesa mwanadamuKwa hiyo Watu wanafinywa kimya kimya Kama Yericko?
Unauliza embe kibada???Kuna watu wamesomea jinsi ya kumtesa mwanadamu
Relax ukute ashatoa kila kitu
tulia weweeeHuwa najiuliza Huyu Max akibanwa kimafya akatakiwa atoe data base ya users wa JF kweli Ana uwezo wa kukaza?
Achana na Mambo ya Mahakama kwa mfano akipelekwa kule Ununio kwa vijana wa Kazi?
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23]Dkt Shika aliwahi kukutana na Hao wakufunzi wa kule KGB mpaka Leo Kuna Nati haijakaza kichwani
Hahahahaaaa,,,,mkuu ila hawa kina yericko hawajawahi kupewa kibano chochote kileDkt Shika aliwahi kukutana na Hao wakufunzi wa kule KGB mpaka Leo Kuna Nati haijakaza kichwani
tulia weweee
Ukweli mchungu mkuu habari ndiyo hiyoPopoma hii sentensi yako umestopisha mapigo yangu ya moyo kwa muda mfupi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tumejengewa woga, kwani unafanya kosa gani kubwa? Mbona FB wadau wanatukana matusi ya nguoni tena wakiwa na majina na picha zao pamoja na conections zote!! Tupiganie uhuru wa kujieleza, tuzoee kusikia hata ambacho hatukipendi ili mradi hakivunji sheria na kanuni za nchi yetuHuwa najiuliza Huyu Max akibanwa kimafya akatakiwa atoe data base ya users wa JF kweli Ana uwezo wa kukaza?
Achana na Mambo ya Mahakama kwa mfano akipelekwa kule Ununio kwa vijana wa Kazi?
uzalendoo au uogaa!!Sisi Wazalendo Hakuna Shida , kazi kwenu mnaobeza Kuhudi za Kuleta Maendeleo ndio mtakoma
Hahahahaaaa,,,,mkuu ila hawa kina yericko hawajawahi kupewa kibano chochote kile
Tumejengewa woga, kwani unafanya kosa gani kubwa? Mbona FB wadau wanatukana matusi ya nguoni tena wakiwa na majina na picha zao pamoja na conections zote!! Tupiganie uhuru wa kujieleza, tuzoee kusikia hata ambacho hatukipendi ili mradi hakivunji sheria na kanuni za nchi yetu
Ukweli mchungu mkuu habari ndiyo hiyo
Usiogope tutashikwa wengi sana haupo peke yakoAcha mkuu najua kutetemeka mimi nishaanza kukosa raha. Kujiachia gizani kuna raha yake popoma
Mange ni mwehu anahangaika na njaaa....na ameshasema siku ikitokea paaap magu kampa ubalozi anaachana na hiko achokiita uanaharakati na page yake anawakabidhi uvccm .....Hamna MTU pale kama wewe ni mfuasi wa mange andika umekula hasaraMange apambanena hali yake aachane kabisa na mello
Huyu mange ni mpuuz umarufu wake had aupatie kupitia migongo ya watu
Mello kapambana peke yake huyu mange akiwa ccm na hata kama leo hii mange akipewa cheo na ccm atamugeuka mello
Mange ni mpuuz kinachomusumbua ni njaa tu
Mkuu Mange akikuskia, usiku huu huu anakupost.Mange apambanena hali yake aachane kabisa na mello
Huyu mange ni mpuuz umarufu wake had aupatie kupitia migongo ya watu
Mello kapambana peke yake huyu mange akiwa ccm na hata kama leo hii mange akipewa cheo na ccm atamugeuka mello
Mange ni mpuuz kinachomusumbua ni njaa tu