Mange Kimambi aumbuka peupeeeee

Mange Kimambi aumbuka peupeeeee

Mange Kimambi ameumbuka vibaya sana alitaka kumchafua Oil Chafu Konki Konki Konki Master ila lengo lake limebuma.

Ametumia nguvu kubwa sana lakini mwisho wa siku ameumbuka wazi wazi kwa aibu kubwa.


Kikubwa nilichogundua Mange Kimambi anaishi maisha ya kuunga unga sana ,na anategemea sana IG angalau aweze kupata chochote kitu angalau aweze kula na kulea watoto wake ndio maana kila kiki ikienea hapa bongo lazima aidandie kwa mbele.


Na hilo limethibitika kwa kiki ya Dudubaya , Mange alivalia kibwebwe sana kiki hii na alijaribu njia zote kumchafua Konki Master ili aongeze followers wake wa IG.


Jana bhana aliwatia jamba jamba wafuasi wake kwa kuwahadaa kwamba ana video ya Dudubaya ambayo akiipost tu basi Dudubaya lazima akumbwe na msongo wa mawazo ambapo asipokuwa makini anaweza akafa kabisa kwa hiyo akamwambia Dudubaya kama anajiamini aseme "Su" ili aachie hiyo video, Dudubaya a.k.a Konki Master huwa hajaribiwi na huwa hatishiki akampa go ahead afanye anachokijua ,lakini kwa maajabu kabisa Mange Kimambi akawahadaa followers wake kwa kufungua account nyingine na kuwaambia waifollow kwa kuwa hiyo video ataituma humo,hawezi kuituma kwenye official account yake kwa sababu anahofia huenda akafungiwa account yake kumbe ilikuwa danganya toto.

Unaambiwa hiyo account ilikuwa na followers 100 tu ila baada ya kuwahadaa watu hiyo account ikafikisha followers 40K+ na akatangaza anaiuza , daaah njaa mbaya sana kwa kweli .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 923748View attachment 923749View attachment 923750

Una sh ngapi kwenye simu yako tuanzie hapo kwanza.
 
We hujui lakini yeye ana followers zaidi ya milioni wanaomjua! Labda wewe ndio "nani"
Uwa nashindwa kupata jibu mtu mwenye akili timamu unaweza kumfollow Mange kimambi,kumbe walio wengi ndo wale wanatafutwa na Makonda.
 
Huu ni mda mzuri sana wa dudu baya kuachia wimbo
 
Ukitaka kupata ushahidi wa IQ za wabongo ni kwa mambo kama haya
 
Asante kwa kulikumbushia hili yetu macho asipokufa Alhad imekula kwake kunauwezekano akafa yeye mwenyewe kwa matusi na vichambo atakavyopewa.
Ngoja tuone hizo siku 5 zilizobaki tuuone mwisho wa mange kuongea na kuandika!!
 
  • Thanks
Reactions: J C
Hahahahaaaaa bongo bana sijui ilikuaje nikazaliwa kwenye hii inchi
Si minyege nyege ya waliokuleta ... ungewaambia wasubiri kwanza tz hapatokuwa salama kwa ustawi wa maisha yako
 
Back
Top Bottom