William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
kama wanauza unga wasisemwe? Sheria ya defamation ipo na ingetosha kabisa kumchukulia mange hatua, kama wanaotukanwa wangekuwa wanaweza kwenda kushtaki. Kukaa kwao kimya pamoja na matusi yote toka kwa mange inathibitisha kwamba ni wahusika wa hizo biashara-kuleta sheria za kutuziba midomo kusema vitu vinavyoliangamiza taifa kama hivi ni makosa makubwa-mange amefanya jukumu lake na historia itamkumbuka kwa hilo na hawa wengine kina makamba na le mutuz nao pia watakumbuka kwa yao
- Well, subiri sasa mkuu waliopitisha hiyo sheria sio wajinga vuta subira utoana nia na madhumuni ilikuwa ni nini hahaha nasikitika sana hawakuweka viboko 12 kama moja ya adhabu ya mjinga mjinga anayeandika ujinga bila facts, wangechapa viboko tu ingetosha sana hahahahaha ila hii sheria mpya subiri tuone me I love it!
- Tutabaki waandishi wakweli kama mimi ambapo huwa tunaandika FACTS tunatumia majina yetu kamili bila kuogopa, wale mliozoea uzushi mtafungwa kwa kweli wala sio siri badilikeni au kataeni mfungwe jela!!
Le Mutuz