Mange Kimambi awavaa January Makamba na Ridhiwani, Ajiunga rasmi 'Team Lowassa'


- Well, subiri sasa mkuu waliopitisha hiyo sheria sio wajinga vuta subira utoana nia na madhumuni ilikuwa ni nini hahaha nasikitika sana hawakuweka viboko 12 kama moja ya adhabu ya mjinga mjinga anayeandika ujinga bila facts, wangechapa viboko tu ingetosha sana hahahahaha ila hii sheria mpya subiri tuone me I love it!

- Tutabaki waandishi wakweli kama mimi ambapo huwa tunaandika FACTS tunatumia majina yetu kamili bila kuogopa, wale mliozoea uzushi mtafungwa kwa kweli wala sio siri badilikeni au kataeni mfungwe jela!!

Le Mutuz
 

Makaburu waliweka sheria nyingi kandamizi ili kulinda maslahi yao, waliua wengi na walifunga wengi wakiwemo kina Mandela

Mwisho wa siku walichoka na kina Mandela walitoka jela wakiwa heroes!!

Sheria kandamizi zina serve the purpose at a very short time baada ya hapo ni aibu na majuto tele!

Mark my words!!

wenye masikio na wasikie!!!
 
Hahaaaaa nyingine z upishi n udananda mjini maisha magumu lazma uwe n madegree kma babu

- hahahaha mburulazzz bwana hukimbilia English kuficha ujinga wao huwa siamuliwi na mjinga mjinga yoyote namna ya kujibu, ukijibu lugha ya mjinga na wewe unakuwa mjinga ndio maana huwa siwajibu kwa lugha mnayotaka ila kwa lugha ninayotaka sawa! hahahahahahahaha

- Na again kama nilivyosema mnaolia lia kutaka haki ya kutukana watu kwa majina ya bandia hapa huwa hamna hoja ila ujinga ujinga kama huu nilitegemea mtatumia nafasi hii kutetea hoja zenu za msingi, bdala yake ni huu ----- mimi nitaiomba Serikali iweke na adhabu ya viboko kwa mjinga yoyote atakayeandika bila FACTS wala EVIDENCE ndio itamaliza matatizo lijitu likipigwa bakora 12 tu basi hurudii tena hahahahaha U know!!

Le Mutuz

Le Mutuz
 

- hahahah mmetukana sana watu bila makosa sasa imetosha na mkifanya mchezo mtafungwa this time maana hii sheria sio mchezo, ni kama America ukivaa fulana yenye picha ya binladen unafungwa tena wala hamna kesi wewe ni jela, please heshimuni sheria za jamhuri cause mtaishia kufungwa, hamuwezi kutukana watu hapa tena bila ushahidi ok people!!

- Hapa hamna kaburu hapa ni sisi wananchi wa Tanzania tumechoka na matusi yenu kwenye mitandao kwa majina ya bandia sasa aidha uwe kama mimi sema ukweli kwa kutumia jina lako kamili au nyamaza, ukileta za kuleta utafungwa jela!! Imagine watu wapo jela kwa kuiba na kuua wewe upo pale kwa kutukana watu kwenye mitandao, mbona itakuwa noma huko jela.

Le Mutuz
 
bado wana ndoto za kutawala milele nasheri zao kandamizi hofu ya mabadiriko inawavuruga.TUKUTANE OCTEBER
 
bado wana ndoto za kutawala milele nasheri zao kandamizi hofu ya mabadiriko inawavuruga.TUKUTANE OCTEBER

- Mitandao ya bongo huwa mnajua matusi tu sio kupiga kura mngekuwa mnajua kupiga kura Chadema wangeshinda uchaguzi siku nyingi, mnachojua hapa ni kutukana matusi tu watu kwa majina ya bandia ukifuata sheria hakuna wa kukukandamiza, kama umeona sheria mpya ina mpungufu wamesema nenda waandikie Wizara ya Mawasiliano ila wacha kulia lia hapa bila hoja mimi siku zote ninatumia FACTS and EVIDENCE so sina wasi wasi hata na sheria mpya wembe wangu ni ule ule,

- Ila wale mliozoea kurusha rusha matusi hapa now it is over, mimi nitaomba serikali waweke adhabu ya viboko 12 kama zamani, mimi nilipokuwa Sekondari Mwalimu mkuu peke yake alikuwaga na fimbo moja maalum toka Uingereza inaitwa mpira ulikuwa ni kama mpira fulani hivi lakini ndani una waya, ukfanya makosa makubwa sana pale Shuleni betweene kukufukuza shule au ule viboko 12 kudadeki, ile fimbo ilikuwa mwisho na mwanzo wa yote,

- Serikali waweke Sheria ya kula viboko 12 ukiandika uongo ambao huna facts nao, niamini ukipata bakora 12 mtumzima utatulia tu na utatia akili kichwani,

Le Mutuz
 
laiti sheria zilizopo zingetumika ipssasvyo tusingefika tulipo.mimi sina sababu ya kutaja chama lakini ona hiyo sheria inamkaba hata anaepokea meseg nae anaweza kufungwa.nikitukanwa nikakutumia wewe basi na wewe upo hatiani inasomeka?@w. j.m
 
Nilishajua sasa kwanini ile sheria ya mtandao ilikuwa inashinikizwa sana kupitishwa kaka alivokuwa waziri mwenye zamana na mawasiliano....
 
Hii kitu imetoka mbali sasa ndio tunakaribia kujua mbivu na mbichi
 
Sheria ya mtandao imewaokoa wengi mno maana wangeanikwa vilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…