Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #221
ndioHujawafollow lakini leo umepata muda wa kuwazungumzia.
asanteMoney Penny pole kwa ban
preach bro preeeachWaambie japokua hawatakubali, lkn ni watumwa wa kiwango cha juu cha utumwa.
kwamba not everyone in the country cares abt themSasa madam ulikusudia kutufikishia ujumbe gani?
aiseeHakuna ushamba mbaya kama ule wa kutaka uonekane au ujulikane kwa watu kwamba wewe ni mtu wa aina fulani,ubaya wa huu ushamba ni kwamba hata kama kweli wewe ni mtu wa aina hiyo ila kitendo cha kutaka watu wakujue hivyo inaonesha una ushamba wa kuzaliwa mfano kama Le mutuz mmoja wa watu wenye ushamba wa kuzaliwa, na ni ushamba mbaya sana sawa na ugonjwa usio na tiba.
kweli wewe bado kabisaIngekuwa kweli 50cent angekuwa kwenye list ya mabilionea kitu ambacho hata pdiddy bado hajafanikiwa.
Maana tilion 3 ungezibadiri kwenye dollars unaongelea bilion dollars kadhaa.
Mpaka sasa hakuna mwana hip hop bilionea marekani
kazi labda ufanye wewe maana upoo buzy na hao celeb ambao hata hawakusaidii kitu!Kuwa mkweli tu,una genes ya utumwa na kuna siku utaenda kulea wazee ulaya wakati mamio hana kadi ya bima ya afya!
Narudia tena 50cent hajawa kwenye list ya mabillionea na hakuna mwana hip hop ambaye yuko kwenye hiyo list.kweli wewe bado kabisa
be a google/ youtube friendly user
sawa research yako umeifanyia wap labda embu lete prove basiNarudia tena 50cent hajawa kwenye list ya mabillionea na hakuna mwana hip hop ambaye yuko kwenye hiyo list.
Wanaonyemelea ni Pdiddy na Jay Z, mtu ambaye kidogo aingie kwenye hiyo list alikuwa Dr Dre baada ya kuuza Beats by Dre lakini baada ya makato na kugawana kilichobaki still hakuweza kuingia.
Inanipa mashaka hata kama unayoyazungumza unayafahamu.
Naongelea bilion dollars
kazi labda ufanye wewe maana upoo buzy na hao celeb ambao hata hawakusaidii kitu!
wewe ndio utapewa hizo kazi ukakubali sio mimi ambae nafikiria nje ya box!
kazi labda ufanye wewe maana upoo buzy na hao celeb ambao hata hawakusaidii kitu!
wewe ndio utapewa hizo kazi ukakubali sio mimi ambae nafikiria nje ya box!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jibu kuntuuUnaforce ...na wewe uonekane upo juu kumbe ..hapo ulipo ni loho ..mkononi.
january 2017we mama mwanao alishajifungua?
Hiyo ni according to forbes magazine jarida linaloheshimika kwa kutaja mapato na utajiri wa watu.sawa research yako umeifanyia wap labda embu lete prove basi
Ushauri: Money Penny KapendwaHiyo ni according to forbes magazine jarida linaloheshimika kwa kutaja mapato na utajiri wa watu.
Mpaka sasa mabilionea duniani accroding to forbes wako kama 400 tu na kati yao hakuna mwana hip hop hata mmoja mtu ambaye mwaka huu ukimwendea vizuri ataingia ni Pdiddy.
50cent utajiri wake ulishuka sana kuna kipindi mwaka 2016 alikuwa na utakiri wa 20 milion dollars kutoka 150 million dollars hadi akaaangaza kufirisika au hukusikia.
Now ndiyo kaanza kurudi rudi na hata hajafikisha utajiri wa dola milion 150 alizokuwa nazo awali.
Kitu kingine kilichompa ela mwaka huu ni bitcoins alinunia bitcoins akasahau anakuja kukumbuka anakuta zina thamani ya Usd 7 million.
So 50cent utajiri wake hata Bakhresa anamzidi maana mwaka juzi forbes africa walisema bakhresa ana utajiri wa 400 milion dollars.
Ase huyu money penny ni me/ke maana hata haeleweki kabisa, that is much rubbish
Nimetafuta connection ya hii link na nilichokuandikia sijaiona.
Ushauri: Money Penny KapendwaKunywa maji sio sharti utumie glass! Unaweza kutumia kopo; na bado ukayanywa! Hata ng'ombe hatumii glass, kopo wala bakuli lakini siku anakunywa maji!
So, hoja yako ningeiona ya msingi endapo ungesema HUWASOMI hao watu... lakini hujawa-FOLLOW?! Kwani kumsoma na kufuatilia posts za mtu ni lazima um-follow? Hivi hoja ni kum-Follow au kumsoma/kumfuatilia?!
me mbnona maarufu sana nimeandika stori nyingi sanaNimetafuta connection ya hii link na nilichokuandikia sijaiona.
Anyway mimi si kati ya hao uliokuwa unawapasha na ukweli ni kwamba hata ID yako nimeijua kupitia huu uzi sikuwahi kuiona before
Oooh basi sikujua hilome mbnona maarufu sana nimeandika stori nyingi sana
nitakuinbox stori zangu
mimi ni Ke hope nimejibu swali lako