Mange Kimambi, Diamond Platinumz, Ali Kiba; Sijawahi kuwafollow watu hawa

Doh we wa masaki, msosi draft, ipad uliletewa na dady kipindi upo form1 unaanzaje kuwafollow akina Mond kwanza sijui kwa nini unamshabikia Kiba na wasanii Wa Bongo, Mi nilitegemea utatuambia Unawasikiliza akina Imagine dragon, Taylor Swift, Edward Sheeran, Demi Lovato etc Ila Sisi Watupori Au Watoto Wa Kitunda, Charambee Tupo Dar Lakini Mkuki House Sijui Mlimani City Hatupajui, Tunapasikiaga tu Unategemea Tutawafollow akina nani Wasanii wenyewe tunawaona kwenye banda la video, tunalipa 100 Unategemea Tutapiga Story Za Akina Wakanda, Lennie James, Denzel Sijui Kyliejener Tunaanzaje. Dunia Ipo kwenye Class Wa Obey Masaki Maisha Bora Mna Watu Wenu Wa Kuwafollow Ila Wa Tandale, Tandika, Mbagala Nao Watu Wao Ndio Hao Akina Aslay, Msaga Sumu etc But Thanks Kwa Ushauri That We'd utilize the most of our Time Kutafuta Pesa rather than Umbea. Ila Vp Una Buku Ten Ya Karibu Apo
Doh we wa masaki, msosi draft, ipad uliletewa na dady kipindi upo form1 unaanzaje kuwafollow akina Mond kwanza sijui kwa nini unamshabikia Kiba na wasanii Wa Bongo, Mi nilitegemea utatuambia Unawasikiliza akina Imagine dragon, Taylor Swift, Edward Sheeran, Demi Lovato etc Ila Sisi Watupori Au Watoto Wa Kitunda, Charambee Tupo Dar Lakini Mkuki House Sijui Mlimani City Hatupajui, Tunapasikiaga tu Unategemea Tutawafollow akina nani Wasanii wenyewe tunawaona kwenye banda la video, tunalipa 100 Unategemea Tutapiga Story Za Akina Wakanda
 
doh

Ushauri: Money Penny Kapendwa
 
Nenda kaangalie YouTube au wikipedia bibliography ya hao watu walipotoka mpaka sasa na wamefanya vitu gani kwenye maisha na Jamii yao uone kama utalala usingizi wewe!

Kama tu unapenda maendeleo
kwani hujui pia alipotoka diamond tandale na saiv yukoje,hutu tumalayya tunatojiuza kwa zunggu bwana
 
Huwapungzii chochotee kila siku wana followers wapya zaidi ya mamilioni
 
We bwana akili Huna kabisa sina cha kuongea na wewe

Mbona Bakhresa katokea kkoo ndani ndani ushawahi mwona anaishi chini ya hadhi yake kwa sasa?

Njoo huku labda kutakusaidia kupanuka akili Happy birthday to malkia wa nguvu Money Penny
huko kunanini si mmeenda mlioshindwa kutusua hapa kwa sababu ya low IQ mmenda kuuza machungwa ,kufua ,kudeki ,kupaka rangi ,na other unproffessional job ofcoz huna green card labda uto.mbwee na usiyempenda ili upate makaratasi (cheap goa.t from shitholee count.ry ) wasomi mmeacha hapa ardhi yenye rutuba na mito kede ,mimadini inaoza polini mnaenda kuzaa na wazungu muwasumbue child support (Take it from me no True tanzanian decent raised can fall in true love with the rotten white&black american) Mimi nampenda sana Trump aliongea ukweli kwa nn mkimbie nchi zenu kwenda huko mnaanza lalamika mnatengwa si urudi kwenu kigoma ardhi kibao ,sababu pekee mimi inayoweza kunipeleka huko ni kutalii (kupiga mala..ya ,kuspend au elimu tuuu au biashara (to export goods from here to there nshatuma sana vinyago,vitenge ,dagaa huko 2013-2015) ,eti njoo kupanuka akili ipi ya kutengeneza garden,kuosha vyombo my swollen foot idio.t
 
Mpendwa
Unajua maana ya sustainable development?
Kama Unajua kawasaidie ndugu zako
Ukibishana na mimi unaonekana jingas maana me sio celebrity
 
Mpendwa
Unajua maana ya sustainable development?
Kama Unajua kawasaidie ndugu zako
Ukibishana na mimi unaonekana jingas maana me sio celebrity
Sikiliza child support surviver ,hiyo hata huko ililetwa na wazawa ,na usiseme ndugu zangu sema zetu ,we umekalia kuwatumia vibikini wenzio tuko huku tukiwaelimisha kilimo bora ili siku moja wajukuu zetu waajiri wamarekani waje kuuza supermarket zao kama wewe ulivyoenda huko ni laana ulipaswa uende either kutalii,kusoma au biashara ,wewe umeenda kutomb.ana na usowapenda upate viza tena msivyo na haya hadi mnazaa yarabii na hizo nguru.we muwaibie vihela vyao vya peshion ,gold deep digger,Hivi kwa nini mkishaenda kuwa vibarua na mahausigeli manajifanya nyinyi ni jamii ya huko my dear ur a villager in africa and no one cares abt you kuliko mimi hiyo usa yooote,come back tufanye sustanable development from your real origin shitho..le country girl ...loserrr
 
Kamshauri kakako sijui mdogowako sijui dadazako kuhusu sustainable development

Sio mambo ya aibu mara kuandamana tar 26 April using a mtupu a ee

Sijui kuuza ubuyu, karanga mara viungo vya pilau

Bora kiba kaamua kuimba tuuu

Anywho nakufananisha na mwanafunzi wa kayumba ukifundishwa hautaki kuelewa tunakuacha ivyo ivyo
 
Sasa mzaramo wangu original vitu vinaenda kwa level hata huko miaka ya 1800's hakuna aliekuwa staa kama diamond leo na ovious walifanya vitu vya chini ya hapo mambo ni ngazi kwa ngazi huu ndo uhalisia wako wewe muha,USA toka ipate uhuru ni miaka 240 naaa ,unafananishaje wasanii wa hizi nchi mbili ,ni sawa na uniulize diamond na baraka mwinsheik nani zaidi itakuwa ngumu kujibu ,leo hii kwa huo usaint something not kayumba ukiambiwa mtu tajiri kuwahi kuishi duniani alikuwa muafirica aliitwa Mansa musa ,na kwa mujibu wa takwimu zao hutaamini ,AGAIN THAMINI VYA KWENU ,Umbea na kufatilia maisha ya watu huku tunaiga tuu tumecopy kwa hao kina JZ tena wanama beef hadi kuuana si hatujafika huko ,et kawewe huwezi mfollow zari ok si mkamilifu ndo anafikia mikahaba kama rihana ,kim kardashian mi hiyo hata mbwa wangu siwezi ruhusu aito.nyee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…