Mange Kimambi: Hiki ni kitabu alichoandika Khamenei akiwa anaelekeza sheria ya ndoa

Duuh kwa hio wewe mtoto kupigwa paipu wako safi kabisa huna shida nae?
AKINYA KUKU SAFI, AKINYA BATA AMEHARISHA!

Mantiki yangu ni kwamba kabla ya kumnyoshea mwenzie kidole jiangalie kwanza wewe upo sahihi?

Kwanini asikemee hao USA? Wanao tesa na kuua Raia wasiyo na hatia?
 
What's the meaning of:
-Idfa
-Diyat for idfa.
 
Tunaomba pdf ya kitabu cha khamenei tafadhali,

hv ayatoula mwngne kashatangazwa?
 
Asisahau Trump na marafiki zake ni pedophiles pia, walikuwa wanatafutiwa watoto wa kufanya ngono na Epstein na bado hawajafikishwa mahakamani hata mmoja.
Uko sahihi, ila kumbuka yeye hajaonyesha kuwatetea Trump na Epstein. Kilimchomstaabisha ni kwamba Ayatollah ni Kiongozi wa kidini tofauti na hao uliowataja.
 
AKINYA KUKU SAFI, AKINYA BATA AMEHARISHA!

Mantiki yangu ni kwamba kabla ya kumnyoshea mwenzie kidole jiangalie kwanza wewe upo sahihi?

Kwanini asikemee hao USA? Wanao tesa na kuua Raia wasiyo na hatia?
At least alimkemea Samia kwa mauaji ya kikatili dhidi ya Watanganyika na sasa ame-expose ushenzi wa Ayatollah Ali Khamenei mengine ya Wamarekani hata wewe kwa kuwa unayafahamu unaweza kuyamwaga hadharani na secondly yeye kutoyasema hayo ya Marekani hakufanyi uchafu huo wa Ayatollah kugeuka kuwa usafi.
Let's all of us agree to call spade a spade.
 
Uchafu wa Marekani mnausafisha sana.

Anyway siungi mkono mabaya yoyote.
 
Uchafu wa Marekani mnausafisha sana.

Anyway siungi mkono mabaya yoyote.
Labda umenifahamu leo, hakuna uchafu wowote ninaou-support haijalishi ni wa Marekani au wa Ayatollah. Niaomuona tu mtu ni mpumbavu pale unapoandikwa uchafu wa Ayatollah Ali Khamenei badala ya kuukemea stupidly one looney anahamisha magoli eti mbona na wengine hamuwaseni nao wana machafu yao. That's stupidity of the highest level.
 
Usilie mkuu ndio dunia ilivyo hapo bado haujafika kula Teleban utachoka madudu yake yakianza kuanikwa
siyo taleban mkuu ni afghanistan ila lnaongozwa na wataleban, hv hk kitabu chetu kitakatifu mbona kina mambo makubwa hv? au ni tafsiri ndo inaleta shda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…