Mange kimambi kugombea ubunge 2020?

geometry

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
466
Reaction score
358
Akijibu hoja ya kwa nini hachukui uraia wa USA,Mange kupitia ukurasa wake wa Instagram alijibu anaogopa kuukana uraia wa Tanzania kwani atapoteza ndoto yake ya kugombea ubunge 2020
 
Eti anahisi akibadili uraia kaka zake ndio watakaomchoma kwa Lukuvi.
Yaani hili limwanamke bure kabisa.
Hivi hao kaka zake wakiona watajisikiaje?
Ukiwa na ndugu kama huyu katika familia uwe na moyo wa chuma tena chuma cha mjerumani.
Anafikiri kupata ubunge ni kama hizo likes anazoambulia huko instagram.
Aendelee tu kuota
 
Hahahah....nimecheka sana mkuu....anatania banaaa
 
Hivi Mange ni nani? Celebrate?? Ni mwanamuziki? ? Au bongo movie? ?
 
Sio ubunge tu, anafaa agombee urais kabisa.
 
Hujui huyu mwanamke mchapa kazi. Mimwenye kama takua jimboni kwangu nintampa kura yangu
ni mchapakazi sikatai......ila wananchi watateseka sana.busara alinyimwagwa,visirani visivyoisha,ugomvi kila uchao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…