Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwa matusi yaleubunge anagombea wapi? Instagram au
Ipo along bagamoyo road afrikana. Saivi inaitwa Triz motel. Imeshachoka.Hongera Mange kwa utajiri wa ajabu.
Tiger Motel ipo wapi? Au ndio Motel Agip?
Chatoubunge anagombea wapi? Instagram au
Hujui huyu mwanamke mchapa kazi. Mimwenye kama takua jimboni kwangu nintampa kura yanguNa akishinda huo ubunge nahamia sudani for good
Mchapa kazi?Hujui huyu mwanamke mchapa kazi. Mimwenye kama takua jimboni kwangu nintampa kura yangu
Hahahah....nimecheka sana mkuu....anatania banaaaEti anahisi akibadili uraia kaka zake ndio watakaomchoma kwa Lukuvi.
Yaani hili limwanamke bure kabisa.
Hivi hao kaka zake wakiona watajisikiaje?
Ukiwa na ndugu kama huyu katika familia uwe na moyo wa chuma tena chuma cha mjerumani.
Abafikiri kupata ubunge ni kama hizo likes anazoambulia huko instagram.
Aendelee tu kuota
ni mchapakazi sikatai......ila wananchi watateseka sana.busara alinyimwagwa,visirani visivyoisha,ugomvi kila uchaoHujui huyu mwanamke mchapa kazi. Mimwenye kama takua jimboni kwangu nintampa kura yangu