Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,931
- 3,177
Ndoto!?hahahaaaaa ikinishinda ya kuhama bongo basi ntaenda kijiji kisicho na umeme wala redio........mh huyu bnadamu kuupata ubunge bongo ni ndoto ya mchana
She really is a social reject.. Ana uelewa sana wa mambo. Ila nahisi she is so lonely and stressful, ndo mana hasira zake za kuwa rejected anazimalizia kwa watu. She needs really a tight hugOMG
Mchapakazi!!!???
Anachapia wapi kazi?
Mtu anayepotea insta pale tu anapokua amelala?
Kiufupi Mange ni a waste bullet?
Ana uwelewa mzuri wa mambo sikatai ila kinachosikitisha ni jinsi anavyomalizia muda,utu,heshima,nguvu na heshima yake instagram.
Anaandika mipost mirefu,mikoment mirefu faida anayopata sijui hata ni nini.
She is a social reject,anatia huruma na anahitaji kuwekwa kwenye maombi.
Mungu nisamehe ila nahisi ananuka,honestly mi nahisi mara nyingi tu analala bila kuoga sbb anakua busy sana insta hapati muda wakuoga na kusafisha nyumba.Niliona video jikon kwake kuchafu jaman aibu.
Matusi anayotukana sasa mmmh sijawahi ona wakumlinganisha.
Mbona umesahau kuwa ni bonge moja la bully kwenye social networks?Ni celebrity Mkubwa tu hapa Tz. She is the the best "Female Bloger" ana miliki "U TURN Blog. Ma Miss Tanzania wengi wa kipindi hicho yeye ndiyo aliwaweka kwenye Mainstream. Kama Nancy Sumari, Wema Sepetu, Faraja Nyalandu n.k. U ki mgoogle wanakupa wasifu wake wote. Ahsante.
sasa dawa yake ili arudi bongo, ni kuvamia nyumba zake au mashamba yake au hotel yake, akifika tu bongo, atakutana na makonda, atakutana na wote aliowatukana including samwel na wengine wengi, watakapombanika kama panya wa mtwara ndipo atapata akili kuwa kichwa chake kilichojaa kamasi hakihitajiki hapa duniani. sifuri kabisa yule.Akijibu hoja ya kwa nini hachukui uraia wa USA,Mange kupitia ukurasa wake wa Instagram alijibu anaogopa kuukana uraia wa Tanzania kwani atapoteza ndoto yake ya kugombea ubunge 2020
Huko vijijini sikuhizi kuna smart phone, hukusikia juzi mkulu alisemea bei ya korosho ni Tsh 4,500. Wanapesa ya vocha na wanamjua Diamond, Wema Sepetu mpaka Harmonize ni nani. Hakuna aliyelala.Labda ataenda kijiji fulani ambapo watu hawamfahamu. Lakini kama ni Dar, Mwanza sijui Arusha asahau.
Baada ya Trump ndo wameanza kujisemesha semesha kurudi huku??? Wakae huko huko na matusi yao.....!!! Anatukana sana huyu mgombea mtarajiwaAkijibu hoja ya kwa nini hachukui uraia wa USA,Mange kupitia ukurasa wake wa Instagram alijibu anaogopa kuukana uraia wa Tanzania kwani atapoteza ndoto yake ya kugombea ubunge 2020
Blog yake ilishajifia. Alikuaga sponsored na Voda, lakini alivozidisha matusi na ku bully watu especially Lowassa na the Makambas voda wakajitoa kum sponsor, so na kiblog kikajifia. Afu to put things clear,mange kajizolea umaarufu mkubwa aliboanza kumkashifu lowasa na the Makambas. pia huyu mwanamama ni mchambaji na mtukanaji mzuri sana hapa Tz anatukana au kusuta anyone bila kujali jina lake wala cheo chake. Pia akili yake ikiwa sawa( wananchi wanasemaga Mange ni bipolar) huwa ni mchambuzi mzuri sana wa social and political issues ( kwa hili nampa credit)Asante, blog yake inaitwaje mkuu? Mbona siyo popular kama Issa michuzi au Millard Ayo? ?
Ile ni hotel au kanisa?Ipo along bagamoyo road afrikana. Saivi inaitwa Triz motel. Imeshachoka.
Nahivi anakigugumizi kama changu.... yule maneno kwa maandishi tu ila face to hawezi ataishia kukung'ata na Mungu huwa hakosei maana angepewa ulimi mlaini dah sijui tuAkiacha kabisa mamboya mipasho na umbeya..basi ni mwanamke jasiri , inteligent na muelewa wa hali ya kisiasa Tanzania.
Akianza sasa kubadilika na namna ambavyo anajua kupanga point zake basi ni wazi anaweza kufika mbali. Aache mambo ya bullying.
Aanze kujifunza sasa kustahamili kisisasa maana kwenye kampeni wapinzani wake wanaweza kumchokonoa kabisa ili wamtoe kwenye mstari ...lakini kama atasimama bila kuwa intimidated basi atashinda
Siyo kuchoka ni magofu tu!Ipo along bagamoyo road afrikana. Saivi inaitwa Triz motel. Imeshachoka.
Kuna kipindi alisema hataki tena umbeya anataka kuwa madam hataki umbeya umbeya watu wasimsjirikishe,mweehhh ilipita tu week akasikia recho anaolewa akaanza tena matusi yake....ni matusi kwa kwenda mbele sasa kiongozi gani hawezi kujisimamia yeye mwenyewe kile anachotaka,kutukana mama za watu kisa ana ugomvi na watoto wako,as a matured person alitakiwa kujifunza kuignore mambo mengine akafocus ktk productive issues,Hivi wewe ni nani yake mpaka umnenee kwamba hawez kuacha!? Akiamua anaweza bora kuwa na Mbunge kama Mange mlopokaji kuliko kuwa na wabunge wa 10Mil. Wale mwanzo mwisho wanasujudu chama kuliko wapiga kura!
Kile kidada kina matusi sanaHivi Mange ni nani? Celebrate?? Ni mwanamuziki? ? Au bongo movie? ?
ni mwana matusi fulani hivi ndo sifa yake kuuNdo nani huyo?
Weka video na wew kwenye video yako tuone, usije ukamsema dada WA watu kumbe Wewe mwenyewe ni balaaOMG
Mchapakazi!!!???
Anachapia wapi kazi?
Mtu anayepotea insta pale tu anapokua amelala?
Kiufupi Mange ni a waste bullet?
Ana uwelewa mzuri wa mambo sikatai ila kinachosikitisha ni jinsi anavyomalizia muda,utu,heshima,nguvu na heshima yake instagram.
Anaandika mipost mirefu,mikoment mirefu faida anayopata sijui hata ni nini.
She is a social reject,anatia huruma na anahitaji kuwekwa kwenye maombi.
Mungu nisamehe ila nahisi ananuka,honestly mi nahisi mara nyingi tu analala bila kuoga sbb anakua busy sana insta hapati muda wakuoga na kusafisha nyumba.Niliona video jikon kwake kuchafu jaman aibu.
Matusi anayotukana sasa mmmh sijawahi ona wakumlinganisha.
Ni Mtukanivu mmoja hivi asiyejali rika wala nafasi ya Mtu kwenye jamii.Ndo nani huyo?