Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,931
- 3,177
Hana akili ,wivu na chuki! Ana roho mbaya kama sura yake ,,,ubunge labda wa Instagram alaf atagombea chama gani? Aligombea CCM akakosa ndo maana anajivuta vuta chadema kwa kukosoa serikali ya pombe ,,kumuita makonda shoga na mgumba! kumtukana raisi kutwa nzima hana akili watakaompa labda wawe hawamjui kwa kwelii aende ACT labda