Mange Kimambi matusi yake yanawadhalilisha wanawake ajabu wanayashangilia

Mange Kimambi matusi yake yanawadhalilisha wanawake ajabu wanayashangilia

mbona inaonekana kama wewe ndiye unayehitaji ushauri wa kisaikolojia maana MK naona anafanya shughuli zake consistently na wala sijamuona kutetereka. upande mwingine wewe unaweweseka kwamba MK ana matatizo. Napata shida sana jinsi watu wengine wanavyofikiri. labda na mimi nahitaji ushauri wa kisaikolojia
Hata kama anafanya kazi zake... Amekubuhu kwa matusi kwa viongozi wetu hilo haikubaliki.... Kama kuna shida na Serikali suluhu sio matusi hayamsaidi zaidi ya kujidhalilisha na kudhalilisha wanawake wenzake
 
wee na
Hapangiwi cha kupost ila asije akarogwa akaingia kwenye anga zangu
wee nawee! ptuyuuuuuuuu
kisa cha kujitafutia kuharibu siku zako za mwezini!!! jifanye humjui mange uepuke kuaibika.
anaaibishwa SIZONJE, ZIRRO itakuwa kifaranga wewee!!
 
Halafu unakuta eti wanaitana kabisa "unapitwa huku" ..."jamani mkuje huku"

Yaani watu wanaitana kuja kuona matusi na hapo vimesemwa viuongo vyao, ajabu sana
tasavali we bibi.. hayo sio matyuss ni MIPASHUOOO hiyo kwenyu nyie wa mtaa uleeeee
 
Kwa kweli angeacha matusi message zake zingewafikia wengi na yeye angepata ujiko na heshima zaidi, ila matusi yake makali mno, hajali hata akijitukana yeye na viungo vyake, wanawake wenzake, mama zetu, shangazi zetu, dada aetu, watoto wetu wa kike na hata wanaume! Aache matusi amwage hoja, hapo utaona watu watakavyompenda zaidi...
bora msg ikimfikia mlengwa mmoja tyuu..
kuliko kuwafikia mburulazz 100 wa lumumba itakuwa haina maana
 
Hivi huko insta anatumia jina gani ,,,nataka nami nikaangalie maovu yake!!!
 
Maajabu kwa baadhi ya wanawake wa kitanzania pamoja na matusi yote ya Mange hasa yakiwalenga wanawake lakini hao hao ndiyo wapambe na mashabiki wakubwa wa mwanadada huyo.

Ndiyo maana na yeye anaendelea na anapenda sana kuandika matusi mitandaoni kwasababu wapenzi wake wapo hasa hasa hao wanawake wenzake.

Mange anahitaji ushauri wa kisaikolojia ili akili yake itulie hasa kukosa ubunge wa viti maalumu na kupewa talaka kumemchanganya sana.

Mlioko karibu naye msaidieni huyo Mtanzania anayejifanya ni Mmarekani.
Mambo ya wanawake waachie wanawake wenyewe, kuwa makini utasutwa.
 
mmmnhhh mtoa mada noted,ataanza soon kutoa matusi yaliyokaa kiume ume,lol
 
Maajabu kwa baadhi ya wanawake wa kitanzania pamoja na matusi yote ya Mange hasa yakiwalenga wanawake lakini hao hao ndiyo wapambe na mashabiki wakubwa wa mwanadada huyo.

Ndiyo maana na yeye anaendelea na anapenda sana kuandika matusi mitandaoni kwasababu wapenzi wake wapo hasa hasa hao wanawake wenzake.

Mange anahitaji ushauri wa kisaikolojia ili akili yake itulie hasa kukosa ubunge wa viti maalumu na kupewa talaka kumemchanganya sana.

Mlioko karibu naye msaidieni huyo Mtanzania anayejifanya ni Mmarekani.
pambana na hali yako na yeye ndio hivo anapambana na hali yake,kwanini unfollow mtu usie muelewa
 
Matusi ya mange hayajawahi kunidhalilisha. Yanamdhalilisha muhusika aliyetukanwa!
Yanamdhalilisha mwanamke duniani. Hakika sijampenda kwa matusi yake.
 
Amewashik pabaya tulizen mishono... Hawez kujamjadil mtu acye na influence kwny jamii. Mtoa post uctafute kick kw pikpik utaangukia pua
 
tasavali we bibi.. hayo sio matyuss ni MIPASHUOOO hiyo kwenyu nyie wa mtaa uleeeee
Nani bibi yako mwana haramu mkubwa wewe?

Kwanza hata kuandika tu penyewe hujui pumbavu sana tafuta mjinga mwenzako ndio umletee huo usakara ulioandika hapo
 
Back
Top Bottom