Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Kiongozi wa CDM kwasasa ni Makamu Mwenyiki wa CDM ambaye ni Heche... Huyo ndio Watanganyika na CDM wnamsikiliza...Kwa sasa wanachama wa Chadema wanawasikiliza zaidi Mange Kimambi na Sativa zaidi ya wanavyosikiliza viongozi wao.
Ili Maridhiano Yafnayike yafutayo lazima yafanyikeHawa wanaharakati so called wao hawataki Maridhiano, hawataki kuona nchi inasogea hatua baada ya yale mauaji ya Oct 29, na ikumbukwe kua wao hawapo Tanzania.
Waliouwawa ni Watangayika kwanini Lissu ndo Aridhienae...??Pili Serikali iharakishe kesi ya Lisu iishe hii ni jambo lingine linakwamisha haya maridhiano
Tayari nchi ilashalaanika toka Oct 29Tusitese watu na kumwaga Damu Hovyo, nchi ita laaaniwa
Kwa sasa wanachama wa Chadema wanawasikiliza zaidi Mange Kimambi na Sativa zaidi ya wanavyosikiliza viongozi wao.
Chama kuendeshwa na wanaharakati ni hatari sana , na imefikia hapo kwa sababu hao wanaharakati ndio walioshawishi watu wengi kukichangia chama kwa ajili ya Mkutano wa Kamati Kuu.
Hawa wanaharakati so called wao hawataki Maridhiano, hawataki kuona nchi inasogea hatua baada ya yale mauaji ya Oct 29, na ikumbukwe kua wao hawapo Tanzania.
Kuna upande wana hoja kua kama CCM inataka Maridhiano basi waliohusika na Mauaji ya Oct 29 wawajibishwe which is make sense lakini mimi naamini watawajibishwa, nchi haiwezi chukua maamuzi ya haraka namna hiyo wanavyotaka wao nchi iamue chap kama kutoa ushuzi au kupiga chafya, lazima kuwe na utaratibu. Na kuwajibishwa wahusika inatakiwa iwe ni agenda moja wapo ya maridhiano.
Pili Serikali iharakishe kesi ya Lisu iishe hii ni jambo lingine linakwamisha haya maridhiano, Majaji wale wanapofanya kesi kua ndefu ili wapate overtime na per dm wakumbuke pia nchi imesimama hii , tatu Serikali iwaachie vijana wote iliowakamata na kuwapa kesi zauongo , kesi za Ugaidi na zingine nchi nzima.
Haki itawale tuache hizi chuki za kike , nchi haiwezi kuendeshwa kwa kufuata mihemko ya Hormones , tufuate utawala wa HAKI NA SHERIA. Tusitese watu na kumwaga Damu Hovyo, nchi ita laaaniwa
Lissu ndio baba waWaliouwawa na Watangayika kwanini Lissu ndo Aridhienae...??
Kwani ni lazima CDM.. tumieni vyama vingine kama ACT, CHAUMA... Tumieni Taasisi kama BAKWATA NA KKKT Hao wanatosha...
Kwani Roma mkatoliki kaua mtu. Akirudi anarudi kwa familia yake. Hakuna popote Roma Mkatoliki anatafutwa na Polisi kwamba kakimbiamapema wiki hii alitishia kuwajulisha Askari Uhamiaji wa Marekani kumrudisha Msanii ROMA Mkatoliki nchini baada ya msanii huyo kutoa mawazo yaliyotafsiriwa kukosoa dharau ya Mange kwa viongozi wa CHADEMA.
Waliouwawa ni Watangayika kwanini Lissu ndo Aridhienae...??
Kwani ni lazima CDM.. tumieni vyama vingine kama ACT, CHAUMA... Tumieni Taasisi kama BAKWATA NA KKKT Hao wanatosha...
Kimya sana mkuu britaniccaKyoma we mambo ya Chadema umeyakomalia sana
Anyway
Unavyoona kina PATEL, ROSTAM AZIZ , YULE WA IRINGA wana nguvu CCM Ndivyo wanaharakati baadhi wana nguvu CHADEMA kisa kuwachangia pesa
Vyama vianze kujitegemea sasa
Comrade Bado upo!?Kyoma we mambo ya Chadema umeyakomalia sana
Anyway
Unavyoona kina PATEL, ROSTAM AZIZ , YULE WA IRINGA wana nguvu CCM Ndivyo wanaharakati baadhi wana nguvu CHADEMA kisa kuwachangia pesa
Vyama vianze kujitegemea sasa
Amekuwa kimya sana tangu jumatano, hadi naingia wasiwasiComrade Bado upo!?
Katika zama hizi za potea potea,tusipokuona humu tunahisi tayari!
Au una special mission somewhere!!?