Kama inavyowakumbuka wale machifu waliouza nchi kwa ushanga.Historia itamkumbuka Mange..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uhaini. Kweli ni uhaini?Kwani katiba yetu inasemaje kuhusu maandamano? Maana mimi niko huku kangetutya halafu drs la tatu tuNi mwendo wa kuhamisha magoli tu leo kwa vijana wa UFIPA.....Tuliwaambia mwanamke mwenye LAANA NA MCHAFU kama huyu kamwe hawezi ingiza nchi hii kwenye matatzo...Naishauri tu SERIKALI ICHUNGUZE CCTV CAMERA NA VIDEO MBALI MBALI ZA DIASPORA WOTE walioshiriki kwenye huu UHAINI NA KUCHAFUA TASWIRA YETU iwajue na iwaambie hatuwataki hapa nchini kwetu
Hakikahongera sana Mange kitendo cha mapolice kukaa barabarani ni prove tosha kuwa ni wewe ni mwanamke shujaa... ....kwani nini wangapi wana Instagram account na serikali haiwatambui???? lol
Naona umejimilikisha kazi ya Sammy Awami wa BBCMange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa serikali ya Magufuli
Ikiwa ni zaidi ya miaka miwili sasa tangu Rais John Magufuli wa Tanzania aingie madarakani, rais huyo ameonesha kutokusita kukabiliana na wapinzani wake, kuanzia wanasiasa na hata viongozi wa dini.
Rais Magufuli amethibiti shughuli za kisiasa za wapinzani. Mikutano ya hadhara na maandamano ya kisiasa vyote vimezuiliwa, huku viongozi wote wa juu wa chama kikuu cha upinzani cha Chadema wakiwa wanakabiliwa na kesi mbalimbali mahakamani ikiwa ni pamoja na makosa ya kusababisha vurugu.
Serikali ya Rais Magufuli, ambaye ni muumini mzuri wa kanisa Katoliki, imetishia kuzifutia usajili asasi zote za kidini ambazo aidha zinajihusisha na siasa au kuzungumzia siasa katika mahubiri ya ibada
Lakini sasa rais huyo anakabiliana na upinzani mkubwa katika utawala wake kutoka kwa mwanaharakati wa kisiasa ambaye ushawishi wake bado unawashangaza wengi.
Mange Kimambi, mwanamitindo aliyebadilika kuwa mwanaharakati wa siasa, ndie muasisi wa maandamano yanayaopangwa nchi nzima kupinga kile anachokiita kuwa ni muendelezo wa ukiukwaji wa haki za binadamu na uminywaji wa haki za kiraia nchini Tanzania.
Mange, akiwa na wafuasi karibu milioni mbili kwenye ukurasa wake wa Instagram, ambaye miaka miwili iliyopita aliutumia ukurasa wake Instagram kumuunga mkono Rais Magufulu wakati wa kampeni za urais, leo hii anautumia ukurasa huo huo kuitisha maandamano makubwa ya kumpinga Magufuli na serikali yake.
Mange ni mama wa watoto watatu anayeishi nao Los Angeles, nchini Marekani. Harakati za mama huyo kumpinga Rais Magufuli zilianza kwenye mitandao ya kijamii takribani miezi sita tu baada ya rais huyo kupinga kuonyeshwa mubashara kwa shughuli za bunge kwasababu za kiuchumi.
Wafuasi wake, wengine wakiwa watumishi wa umma, wamekuwa wakimtumia taarifa mbali mbali zikiwemo zile zinazoaminika kuwa nyaraka nyeti za serikali, kufichua kile wasichokubaliana nacho juu ya mwenendo wa serikali. Wapo wengi pia ambao wamekuwa wakimtumia picha na taarifa kuonyesha hali duni ya huduma za kijamii katika maeneo yao.
Mange ni mmoja wa watu wa kwanza nchini Tanzania miaka ya mwanzo ya 2000, ambapo alitumia kurasa zake kuzungumzia maisha yake na marafiki zake pamoja na mitindo ya mavazi. Lakini Mange alizungumzia pia habari binafsi mbalimbali za watu maarufu waishio ndani na nje ya Tanzania, wakiwemo walimbwende, wanamuziki na waigizaji filamu.
Wengi wanaamini habari hizi ndizo ziliwavutia watu wengi kuanza kumfuata katika kurasa zake za mitandaoni.
-Wakati ambapo shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani zimedhibitiwa na watu kadhaa wamekamatwa na kushtakiwa kwa kuikosoa serikali kwa namna ambayo mamlaka haikupendezwa nayo, ukurasa wa Instagram wa Mange umefanyika sauti kuu kwa wakosoaji wengi wa serikali ya Rais Magufuli
Wakosoaji wa serikali na wanaharakati wa haki za binadamu wameendelea kuonya kwamba haki za kisiasa na uhuru vyombo vya habari na watu kujieleza vimeendelea kuminywa nchini Tanzania. Hata hivyo serikali imekuwa ikitupilia mbali madai haya.
Mara ya mwisho wafuasi wa upinzani walipoandamana mwezi Februari, makabiliano yao na polisi yalisababisha kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwilline ambaye inaelezwa kuwa alipigwa risasi kwa bahati mbaya.
Ikiwa maandamano haya yatafanyika ama la, ni jambo ambalo wengi wanasubiri kuliona. Lakini muitikio wa serikali katika kuapa kudhibiti maandamano haya umetafsiriwa na wengi kuwa ni mafanikio ya ushawishi wa Mange kupitia ukarasa wake wa Instagram tu, jambo ambalo vyama vingi rasmi vya upinzani nchini Tanzania vimeshindwa kulifanya.
Wewe si unamuona mange..wenye kazi zao wanaokufanya hata wewe uandike kusifia mange wanaona zaidi ya mange..mnhhh unawaonaga police kila siku kwani wakifanya hizo kazi zao???au mpaka wasikie kuna maandamano ya Mange?lol
Ogopa sana hadi nafasi za kazi feki ilibidi zitangazwe.Mange bila kupepesa macho wala kuangalia huku ufipa au Lumumba amefanikiwa kwa kiasi chake hata magu anajua ukitaka kuamini kamsom mzee mwanakijiji, halafu angalia movement walizofanya police
Wewe si unamuona mange..wenye kazi zao wanaokufanya hata wewe uandike kusifia mange wanaona zaidi ya mange..
Na kwa taarifa yenu hata sisi wapenda maendeleo tungewaua tu mgeandamana.Hakika ujumbe wa Mange umefika penyewe!
Hapo sweden huyo balozi anatakiwa anakili hayo mabango yanasemaje,Mangekimambi wabongo wasikupoze kiaina, Wanahsrakati wamekusaliti!! Hata viongozi na wafuasi wa upinzani unaowapigania wamekusaliti. Sweden wamekaribishwa na Balozi waeleze malalamiko yao, wamegoma, unachopigania hakitafika kwa muhusika Sababu Sweden nao waoga, wamekusaliti!!!
Vipi uliandamana au ubwabwaja tu mayalaaa wewe!!hongera sana Mange kitendo cha mapolice kukaa barabarani ni prove tosha kuwa ni wewe ni mwanamke shujaa... ....kwani nini wangapi wana Instagram account na serikali haiwatambui???? lol
Ndio akili ya watz inaweza kukariri na kusubiri matukio kushabikia..uwezo wa kufanya reasoning ili kuona zaidi ya wanachosikia au kuona ni mdogo sana, wewe ni mmoja wao.mimi namuona Mange ndio,na wewe endelea kumuona Magufuli,msaliti kama wewe,kakuibia trillion bado unampigania...mnnhhh
Watakwambia wewe mchocheziMangeKimambi you are the champion.
Ndio akili ya watz inaweza kukariri na kusubiri matukio kushabikia..uwezo wa kufanya reasoning ili kuona zaidi ya wanachosikia au kuona ni mdogo sana, wewe ni mmoja wao.
Vipi uliandamana au ubwabwaja tu mayalaaa wewe!!
Kwa akili hizi siasa za Tanzania zimewashinda, unawezaje kupata 0 halafu ukatamba umepata 100. Hivi nyie mna tafsiri tofauti ya mafanikio?Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa serikali ya Magufuli
Ikiwa ni zaidi ya miaka miwili sasa tangu Rais John Magufuli wa Tanzania aingie madarakani, rais huyo ameonesha kutokusita kukabiliana na wapinzani wake, kuanzia wanasiasa na hata viongozi wa dini.
Rais Magufuli amethibiti shughuli za kisiasa za wapinzani. Mikutano ya hadhara na maandamano ya kisiasa vyote vimezuiliwa, huku viongozi wote wa juu wa chama kikuu cha upinzani cha Chadema wakiwa wanakabiliwa na kesi mbalimbali mahakamani ikiwa ni pamoja na makosa ya kusababisha vurugu.
Serikali ya Rais Magufuli, ambaye ni muumini mzuri wa kanisa Katoliki, imetishia kuzifutia usajili asasi zote za kidini ambazo aidha zinajihusisha na siasa au kuzungumzia siasa katika mahubiri ya ibada
Lakini sasa rais huyo anakabiliana na upinzani mkubwa katika utawala wake kutoka kwa mwanaharakati wa kisiasa ambaye ushawishi wake bado unawashangaza wengi.
Mange Kimambi, mwanamitindo aliyebadilika kuwa mwanaharakati wa siasa, ndie muasisi wa maandamano yanayaopangwa nchi nzima kupinga kile anachokiita kuwa ni muendelezo wa ukiukwaji wa haki za binadamu na uminywaji wa haki za kiraia nchini Tanzania.
Mange, akiwa na wafuasi karibu milioni mbili kwenye ukurasa wake wa Instagram, ambaye miaka miwili iliyopita aliutumia ukurasa wake Instagram kumuunga mkono Rais Magufulu wakati wa kampeni za urais, leo hii anautumia ukurasa huo huo kuitisha maandamano makubwa ya kumpinga Magufuli na serikali yake.
Mange ni mama wa watoto watatu anayeishi nao Los Angeles, nchini Marekani. Harakati za mama huyo kumpinga Rais Magufuli zilianza kwenye mitandao ya kijamii takribani miezi sita tu baada ya rais huyo kupinga kuonyeshwa mubashara kwa shughuli za bunge kwasababu za kiuchumi.
Wafuasi wake, wengine wakiwa watumishi wa umma, wamekuwa wakimtumia taarifa mbali mbali zikiwemo zile zinazoaminika kuwa nyaraka nyeti za serikali, kufichua kile wasichokubaliana nacho juu ya mwenendo wa serikali. Wapo wengi pia ambao wamekuwa wakimtumia picha na taarifa kuonyesha hali duni ya huduma za kijamii katika maeneo yao.
Mange ni mmoja wa watu wa kwanza nchini Tanzania miaka ya mwanzo ya 2000, ambapo alitumia kurasa zake kuzungumzia maisha yake na marafiki zake pamoja na mitindo ya mavazi. Lakini Mange alizungumzia pia habari binafsi mbalimbali za watu maarufu waishio ndani na nje ya Tanzania, wakiwemo walimbwende, wanamuziki na waigizaji filamu.
Wengi wanaamini habari hizi ndizo ziliwavutia watu wengi kuanza kumfuata katika kurasa zake za mitandaoni.
-Wakati ambapo shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani zimedhibitiwa na watu kadhaa wamekamatwa na kushtakiwa kwa kuikosoa serikali kwa namna ambayo mamlaka haikupendezwa nayo, ukurasa wa Instagram wa Mange umefanyika sauti kuu kwa wakosoaji wengi wa serikali ya Rais Magufuli
Wakosoaji wa serikali na wanaharakati wa haki za binadamu wameendelea kuonya kwamba haki za kisiasa na uhuru vyombo vya habari na watu kujieleza vimeendelea kuminywa nchini Tanzania. Hata hivyo serikali imekuwa ikitupilia mbali madai haya.
Mara ya mwisho wafuasi wa upinzani walipoandamana mwezi Februari, makabiliano yao na polisi yalisababisha kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwilline ambaye inaelezwa kuwa alipigwa risasi kwa bahati mbaya.
Ikiwa maandamano haya yatafanyika ama la, ni jambo ambalo wengi wanasubiri kuliona. Lakini muitikio wa serikali katika kuapa kudhibiti maandamano haya umetafsiriwa na wengi kuwa ni mafanikio ya ushawishi wa Mange kupitia ukarasa wake wa Instagram tu, jambo ambalo vyama vingi rasmi vya upinzani nchini Tanzania vimeshindwa kulifanya.
Bila shaka umevuta cha arusha mkuuNi mwendo wa kuhamisha magoli tu leo kwa vijana wa UFIPA.....Tuliwaambia mwanamke mwenye LAANA NA MCHAFU kama huyu kamwe hawezi ingiza nchi hii kwenye matatzo...Naishauri tu SERIKALI ICHUNGUZE CCTV CAMERA NA VIDEO MBALI MBALI ZA DIASPORA WOTE walioshiriki kwenye huu UHAINI NA KUCHAFUA TASWIRA YETU iwajue na iwaambie hatuwataki hapa nchini kwetu...Nina amini huko walipo wanajutia
Kuna waropokaji humu wanasema askari wamejazwa barabarani SI KWELI....tutupieni hizo picha za askari tofauti ya hizo za moshi na arusha(PHotoshop)......