Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa Serikali ya Magufuli

Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa Serikali ya Magufuli

Na aende tu hanafaida tena kwasasa
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Sheikh Alhad ni noma,ngoja tuone hizo siku 30 zilizobaki maana kashaanza kuelekea kibra hamuongelei kabisa ANKALI MAGU,kabaki kugombana na chahali tu.
 
anajisifu anaachiwa gari na mwanaume huko huyo anayemchamba kaachiwa kila kitu wallah Alhad mbaya
 
Back
Top Bottom