Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa Serikali ya Magufuli

Kuna waropokaji humu wanasema askari wamejazwa barabarani hili SI KWELI....tutupieni hizo picha za askari tofauti ya hizo za moshi na arusha(PHotoshop)......
Usiwe unaongea vitu kama huelewi.
Hakuna photoshop, sio kama natetea. Nakuambia Vitu ambavyo ni halisi. Kijeshi taarifa yoyote huwa inachukuliwa Kwa uzito wake hakuna under rating/Under Estimating. Hivyo Jeshi/Askari hawajakosea kitu chochote. Huwa hawachukulii taarifa yoyote kwa Umma kama uzushi hata siku moja.

Jeshi halijakomolewa kama wengi wanavyodhani, limefanya wajibu wake kushughulika na taarifa hiyo kwa uzito wake, si kwa uongo au ukweli wake
 
***** hamna cha mange wala nyumbu watanzania ni waelewa sana; wamewaacha waone kama wataandamana na familia zao. Waache kula ugali wao waingie barabarani kuandamana juu ya nini?? Nimewapenda sana watz na hio ndio picha ya 2020 mtagaragazwa mbayaa sana bring that election.. ughaibuni ndio kabisa watu hawakua na time walijitokeza wasio na kazi wanaotegemea social benefits ikabidi wafiche sura wasijulikane ***** hio ndio bongo. Kumkoma nyani giladi.
 
Na kwa taarifa yenu hata sisi wapenda maendeleo tungewaua tu mgeandamana.
Maendeleo gani umepata tangu awamu hii kuingia madarakani?! Hivi hujui kuua ni kosa la jinai na pia ni dhambi kwa Mungu!
 
Sijui serikali imetumia shillingi ngapi za ziada juzi na jana, na actually toka huyu mdada atangaze maandamano ili kuimarisha ulinzi na usalama, kuyazuia haya maandamano.

Mtu anaishi marekani lakini bado ana influence mambo ya TZ, hiki pia ni kipaji ambacho hatuwezi kukifumbia macho.
 
Kama vyombo vya habari na mitandao inafungiwa ni maandamano gani yataruhusiwa ....labda nipe mfano wa maandamano yeyote yaliyoruhusiwa tangu aingie
 
Activist General, Dr Mange Kimambi.. Hahahaha yajayo yanafurahisha
 
Pumbavu zenu na Mbowe wenu. Ole wenu
 
Kama vyombo vya habari na mitandao inafungiwa ni maandamano gani yataruhusiwa ....labda nipe mfano wa maandamano yeyote yaliyoruhusiwa tangu aingie
Mbona hueleweki, umesharidhika na majibu ya swali lako la kwanini Balozi wa Sweden alikimbiwa na wavaa vinyago waliokataa kuonana nae?
 
Huuu ndio mfano wa uzezeta

Kutumia maBILIONI kutishia watu na kuagiza magari ya lumficha mfalme nani muoga hapo


Nishakuambia watanzania wengi including wewe ni mazezeta wanao amini kila ujinga na zezeta hazuiwi kwa vitisho vya uwongo bali kwa vitisho live na vipigo vya kufa mtu ama mbwa koko kama alivyosema mkuu wa mkoa wa Dodoma. Kwa akili yako, ulitaka serikali nayo ijibu mapigo kupitia Instagram au? Si uliona jana, nani aliandamana kuna anayependa ugali wa jela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…