Maandamano hayo, possibility kubwa yanaweza yasiwepo na funguo rasmi ya udhibiti wa umma itakuwa imerudishwa kwa serikali.Watanzania tutafakari kwa kina, je tumeona vipaumbele vya maandamano? Je umekaa chini ukajiuliza tarehe 29 ulitaka ama kufanya maandamano Kwa nini? Na hayo yanayokuja unataka kuandamana kwa sababu Gani?
Mimi ni mtanzania mpenda Haki, na watanzania wapenda Haki tujiulize kua vipaumbele vya maandamano ni vipi?
Nachojua maandamano kwanza hua na waratibu ama viongozi wake tena wanaoishi nchini, na wanakua na vipaumbele vyao ama vya waliowatuma, na uongozi huo hua tayari kwanza kukutana na viongozi wa serikali kuanzia ngazi ya mkoa Hadi nchi nikizungumzia Mh Rais...Sasa sisi tunao hao watu?
Kunakuaga hata na mabango makubwa yenye jumbe mbalimbali vinavyoonesha vipaumbele ambavyo pia vinakuaga baadhi ya vile vikuu ambavyo viongozi wa maandamano hua navyo kwa ajili ya ku present kwa Mh Rais..je tunavyo hayo?
Majibu kwa asilimia kubwa ni hapana, kwanza wanaoitisha hayo maandamano wako nje ya nchi, je nini kinatuongoza ? Mission ni nini? Mbona naona kama ni watu ambao wanataka nchi iingie kwenye machafuko? Hayo nliyoyasema hapo juu yalikosekana kiasi kwamba wahuni, vibaka na wahalifu kupata upenyo wa kutumia vibaya nafasi hio, mana ukiunguza duka la mtu la simu mfano ni kwamba kabla ya kuchoma biashara ya mtu ulishaiba mali zilizomo...Sasa je hio ndio mission ya maandamano?
Kilchokosekana kufanyika kwa nliyosema hapo juu ilipelekea Hadi watu wasio husika na chochote ambao walikua wanajitafutia riziki zao kukumbwa na kadhia ya kupoteza uhai.. wengine tunategemea biashara za online, mitandao imezimwa karibia wiki nzima, je tunajua impact ya kuzima internet wiki nzima kiuchumi? Yote hayo yalitokea sababu wengi wetu mtaani ungetuuliza tunaandamana kwa sababu ipi tunakujibu tunachukua nchi ..which is absurd ! Tunajua kwanini madagascar walifanikiwa? Unachoma basi la shabiby, halafu baada ya hapo..yeye ataenda kuongeza mengine 50, Sasa uliechoma hujapata faida yoyote na Bado pia hata haufanyi biashara Wala kujishuhulisha..
Embu watanzania wenzangu tujiulize mara mbili mbili kama ndio tunataka unajua wanaoathirkka ni watanzania maskin ama wenye vipato vya kawaida ambao naamin kwa asilimia kubwa wao wanataka tu wafanye maisha YAO watafute ugali wao maisha yaende...kwani kabla ya Rais Samia kwani si watu walikua wanaishi na maisha yao ya kila siku? Nchi hii ndio walimozaliwa...hawana pesa ya kukwea pipa kwenda ulaya kuishi kuanza maisha mapya ..
Hao wadada na baadhi ya jamaa wa huko marekani na kwingineko nchi za ughaibuni embu watuache tuuguze majeraha ya mwilini na rohoni ya kupoteleww na ndugu zetu, hivi hawaoni tumepoteza ndugu zetu wengi na Bado wanataka watu waandamane? Roho ya aina Gani hio...? Tutafute namna nyingine ya kufanya kama ni maridhiano kama ni nini ila sio maandamano...
Wakitoka tena kuandamana natembea uchi kutoka kariakoo hadi Mbezi kwa miguuSimple
1.Kubwa zaidiTunalaani mauaji ya october 29
2.Katiba mpya na kupinga ufisadi
3.Samia siyo halali.
4,Waliotekwa warejeshwa
5 Wanaoshikiliwa waachiwe
D9 nikubwa kuliko
Ndio ni ya mange na maria...sababu sisi tunaotaka hayo tunayotaka hatujui namna ya kuya present, hatuwez kujiongoza ,Kwa AKILI ZAKO, unajua kuwa yale maandamano yalikuwa ya Mange na Maria!?
Ulielewa lengo la NO REFORM, NO ELECTION? Hivi, umeshasahau maana ya TUTAKINUKISHAAA?
Mkuu sasa ilitakiwa tuoneshe uwerevu wetu kwanza kwa kuanzia kwa viongozi walioanzisha NRNE, kwanza kufanya jitahda kuonana na wenye mamlaka ikiwemo RAIS...naomba nikumbushe kama Hilo lilitokea ...werevu huo ungekuja Hadi tuwajue viongoz wetu wa maandamano, Yan tuwe na watu wa kuwasikiliza kama matakwa yetu wananchi yamepoklewa ama kufanyiwa kazi na kama hayafanyiwi kazi viongozi tuwasikilize hatua za kuchukua ambazo sio za kuwaambia watu wakapishane na risasi na kuchoma mabasi na ili pia "wahalifu" wengine wa kisiasa wasitumie fujo hizo kukamilisha mission zao,Watanzania wa saizi sio wajinga...CCM mliweza kuwaroga baba na mama zetu na babu zetu, bibi zetu ila kizazi cha saizi kitawasumbua maisha
Sir use the word Inspre- Mange na Sarungi ni Inspirers tu, watekelezaji ni sisi, Agenda ni combination ya yote, Katiba Mpya, acha wizi na utekaji uaji na upotezaji, fuata haki na mageuzi, bila kuacha NRE.Ndio ni ya mange na maria...sababu sisi tunaotaka hayo tunayotaka hatujui namna ya kuya present, hatuwez kujiongoza ,
Matokeo ya kukinukisha yameleta majibu yapi mkuu?
NB: siungi mkono yaliyotokea Wala kufanyika lakin pande mbili zote zimekosea na zaidi pande Moja inachochewa na outsiders kwa interests zao wanazojua na tunaoumia ni wananchi tusio na hatia na matokeo umeyaona oktoba 29. ..ni kama pande mbili hazijui namna ya kushirikiana ama kukubaliana ..kila mtu ana PRIDE...but main point maandamano yasiyo na strategic mission hayana mafanikio
Ukiongea mkuu unatukanwa matusi hata Mimi nilikua na matusi na mihemko ila mwisho wa siku Havina faida ,, Yani kifupi we don't have a clear mission sisi tunaotaka reforms ..na hata viongozi walianzisha hio NRNE sijui kama walishakua na mjadala mkubwa wa wao na wananchi kuwaelezea vipaumbele hivyo kwa undani zaidi ...unakuta Mimi napasua kioo Cha gari...ila unaniuliza kwanini napasua kioo nakuambia no reforms no election..ukiniuliza ni reforms zipi sijui ...ajenda nyingine za kihalifu zimeweza kufanikiwa sababu ya kutokua na clear mission ya riot ..na outcome tumepoteza wapendwa wetu wengi, nasema wapendwa wetu mana hata wale vibaka na wahalifu ni wapendwa wetu piaMaandamano hayo, possibility kubwa yanaweza yasiwepo na funguo rasmi ya udhibiti wa umma itakuwa imerudishwa kwa serikali.
Sababu kubwa ni kuwa mpaka sasa hakuna majibu ya INTERNET BLACKOUT, MEDIA BLACKOUT, CURFEW.
Kufanya kazi kama JESHI LA NYUMBU hakujawahi kuleta mafanikio.
Hiyo Desemba 9, ni ya KUWAPA AHUENI watawala.
Baada ya hapo CCM wataanza kuvaa kabosa na nguo mitaani na kuendesha mabaiskeli na pikipiki zao.
Kwanza kuacha kuoiga kelele za kilichotokea oktoba 19, na kuanza agenda za Desemba 9, ni AHUENI na USHINDI kwa Samia
Hapo ndiyo tatizo linapoaanza. Kwanza kabisa ungeelewa kuwa sisi wananchi ndiyo tunampa Rais hiyo kazi. That said, sisi tunaweza kumtoa, ndiyo kusema Political appointments siyo Permanent, siyo kazi ya kudumu. Hapo wewe unaongelea kama Urais ni kazi ya kudumu, hapo ndipo madikteta Afrika ambapo hawaelewi, ingekuwa wanaelewa hiyo haya matatizo hayangekuwepo.Mkuu sasa ilitakiwa tuoneshe uwerevu wetu kwanza kwa kuanzia kwa viongozi walioanzisha NRNE, kwanza kufanya jitahda kuonana na wenye mamlaka ikiwemo RAIS...naomba nikumbushe kama Hilo lilitokea ...werevu huo ungekuja Hadi tuwajue viongoz wetu wa maandamano, Yan tuwe na watu wa kuwasikiliza kama matakwa yetu wananchi yamepoklewa ama kufanyiwa kazi na kama hayafanyiwi kazi viongozi tuwasikilize hatua za kuchukua ambazo sio za kuwaambia watu wakapishane na risasi na kuchoma mabasi na ili pia "wahalifu" wengine wa kisiasa wasitumie fujo hizo kukamilisha mission zao,
Sir , do you think we need inspires kwenye hoja nzito za ki-nchi? Na Inspire hizo ni za "tunakinukisha" ..kweli?Sir use the word Inspre- Mange na Sarungi ni Inspirers tu, watekelezaji ni sisi, Agenda ni combination ya yote, Katiba Mpya, acha wizi na utekaji uaji na upotezaji, fuata haki na mageuzi, bila kuacha NRE.
WALIOIBIWA NAO MALI ZAO RUDISHENI MA MALI MLIZIZO CHOMA RUDISHENISimple
1.Kubwa zaidiTunalaani mauaji ya october 29
2.Katiba mpya na kupinga ufisadi
3.Samia siyo halali.
4,Waliotekwa warejeshwa
5 Wanaoshikiliwa waachiwe
D9 nikubwa kuliko