Mange Kimambi na Maria Sarungi je vipaumbele vya maandamano ni vipi?

Na yule Inspirer anayesema Nywinywinywi Je? Don't be biased
 
Mkuu, ajenda ilitolewa lakini una uhakika watanzania wote walikua wanaelewa kiundani! ? Sawa, tuseme tuliunga mkono, je Sasa Hawa viongozi walioanzisha walifanya jitihada kukutana na rais ? Naomba nikumbushe labda nmesahau, Haya Hilo limeshindikana, je ilikuaje tukaenda kukinukisha ..unaamin wale walikua watanzania wanaojielewa kabisa kwamba walikua barabarani wakichoma matairi, kuunguza maduka, mabasi ?
 
Mimi nikiwazooma ambao mko huku mnampond mleta HOJA ilhali hamko JELA,hamjafa,hamjafiliwa.Nawaona nyie ni mawakala wa SERIKALI tu mmeona idadi ya mliowauwa Last time haijatimia mnataka wafe wengi zaidi.

Tanzania kama taifa hatujafikia hatua hiyo hata hizo sababu mlizotoa ni CHEAP sana kulinganisha na thamani ya UHAI wa Watu waliokufa.
 
Bandiko la kichawa 100%
Kwanza kujifanya eti maandamano ni ya Maria na Mange umekuja na strategy ya kizuzu mno.
Hivi watu ambao hutekwa na kuuawa kwako huwa maisha yao hayana thamani kabisa unakuja na upuuzi wa mabasi na biashara za mtanaoni, hivyo ndiyo vina thamani zaidi ya watu ambao hutekwa, huteswa, hunajisiwa na kuuawa?
Umekuwa mjinga kiasi usione sababu za hasira za Watanganyika dhidi ya madhila wanayofanyiwa na Samia pamoja na vyombo vyake na henchmen wa Abdul dhidi ya Watanganyika? Bandiko lako linatia kichefuchefu, uchawa unawatoa ufahamu kabisa.
Kwa taarifa yako Watanganyika wanaoishi kwenye nchi ambazo kuna freedom of expression mchango wao katika ku-motivate ni muhimu sana, bila ya kuwa na sababu zinazowagusa direct wananchi haiwezekani wakaandama eti kwa kuwa tu flani kasema waandamane.
 
Na yule Inspirer anayesema Nywinywinywi Je? Don't be biased
Nimewaweka wote ila kila kundi lilikua linafanya vitu differently ..huku wanasema kinukisheni...huku mzee wa kubananga alikua ana expose madudu ya serikali..ambayo hayo madudu Sasa kama viongozi wangekuepo wa haya maandamano naamin kabisa yangekua included kwenye vipaumbele ambavyo vingeenda kuzungumzwa meza kuu...

NB: siungi mkono yaliyotokea Wala kufanyika lakin pande mbili zote zimekosea na zaidi pande Moja inachochewa na outsiders kwa interests zao wanazojua na tunaoumia ni wananchi tusio na hatia na matokeo umeyaona oktoba 29. ..ni kama pande mbili hazijui namna ya kushirikiana ama kukubaliana ..kila mtu ana PRIDE...but main point maandamano yasiyo na strategic mission hayana mafanikio,, tufanye vitu bila wananchi kupoteza maisha ama ajenda za wahalifu zipate nafasi
 
NRNE ilieleweka.

Ila aliyepanga maamdamano Desemba, anaua HAKI za walipoteza maisha Oktoba 19 na kurudisha rasmi uhalali na nguvu ya majambazi.
 
Watu wamekuwa wakiuawa, wakiwekwa mahabusu, wakitekwa na kupotezwa na hata wakinajisiwa na kutobolewa macho kabla hata ya maandamano.
Kutokuandamana hakuwafanyi Watanganyika kuepuka kutekwa, kufungwa au kuuawa.
Justice must prevail at whatever the costs.
 
Sawa mkuu kwaio naamin wewe hapo hujafiwa Wala kuumizwa na biashara yako haijafikiwa na madhila yoyote ndugu zako wako salama salmini, kwaio una suggest October 29 ijirudie? Ndio suluhisho litafanikiwa kwa kuwasikiliza mange na maria Sarungi...mtoto wa kiongozi wa serikali..
 
Tarehe 29 iliijeruhi CCM
 
Kwaio mkuu Njia ya justice ni October 29 ijirudie sio...
 
Hunijui wala haujui ninaishi TZ au la, haujui kama nimepoteza ndugu,a close friend au jirani so this exposes your low intelligence.
Some arguments are meant for big brains only.
 
Utakuwa slow learner mkuu kama mpaka leo hujui wanaume na wanawake wa bongo wana vipaumbele gani, karibu miaka 30 wanadai najua hukuwa hata umezaliwa leo ndio unauliza hapa jf, unataka notes ukadese?
 
Mkuu hao matapeli wanaishi nje ya nchi na familia zao alafu wanatuma vijana wa GZ wawafanyie kazi yaani vijana wafe kwaajili yao na baada ya hapo wao warudi na familia zao kula matunda ya kazi ya vijana wa GZ
Na hawa vijana huwa tukiwaeleza ukweli hawaelewi lakini watachelewa sana kufahamu tulikuwa na maana gani Chibike
 
NRNE ilieleweka.

Ila aliyepanga maamdamano Desemba, anaua HAKI za walipoteza maisha Oktoba 19 na kurudisha rasmi uhalali na nguvu ya majambazi.
Vyema mkuu..

Kama ilieleweka nilitegemea viongozi walioanzisha na kuifanya ieleweke (kama ni kweli ilieleweka na watanzania wengi) basi kama kiongozi sifa moja kubwa ni kulinda amani kwanza kabla ya yote ..na ku forecast yajayo, nilitegemea hao so called influencers wa huko nje , viongoz wetu wa NRNE wangewakataza wananchi kujitokeza kwenye maandamano na kuwaambia steps ambazo wangechukua ambazo sio kuingiza watu barabarani na kutoa nafasi kwa wahalifu kutumia agenda za kihalifu kufanya uhalifu na mwisho wa siku time cost maisha ya wengi ( hapa naamini nmeeleweka).
 

Hawapo jf
Wapo Instagram na twitter

Wafate huko ukawaulize
 
Msingi wa amani ni Haki duniani kote.

TZ hakujawahi kiwa na vurugu kwasababu wanasiasa walijua watachavuana kwa kura, wakiona hawajatendewa haki watatafuta mahakamani au mtu akikosea atapelekwa mahakamani.

Eneo ambalo hakuna utawala wa shetia, watu hawana uweso hata kuchagua mwenyekiti wa kigongoji, uchaguzi hata mdpgo tu ni vita, na watu wanatekwa tu na kuuliwa bila sababu hakuwezi kuwa na amnai.

Lazima kutakuwa na MAPAMAMBANO.
 
Father bila shaka wewe ni mtoto wa single maza kama dayimondi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…