Mange Kimambi na Maria Sarungi je vipaumbele vya maandamano ni vipi?

Mkuu asante umenielewa..Mimi inanipa ugumu sana..why mtu Aishi maisha mazuri ulaya aniambie Mimi nikinukishe kwenye nchi yangu? Ni kweli Kuna agenda za NRNE ambazo ndani yake Kuna masuala ya kutekwa n.k, lakin najiuliza viongoz wa NRNE walifanya ama walishafanya jitihada za kukaa meza na rais ? Sifa ya kiongoz ni kulinda amani, kulinda nchi na watu wake, labda niambiwe pengine nmesahau, kua karibia kila siku viongozi wa NRNE walikua kwenye media kuomba kutaka kuzungumza na rais ..kiongoz lazima uwe na mbinu za amani lakini za kushinikiza kuonana na wenye mamlaka haswa rais...
 
Matokeo ya organized protests yamekuwa ni kufanyika kwa immediate arrest ya wale viongozi wanaoratibu mpango huo na kuwapa kesi za ajabu au hata kuwapoteza kabisa kwa wale wasio na majina makubwa kisiasa.

Tuna intelijensia kali sana ya kugundua watu wanapanga nini against Chama kilichoshikilia dola ama watawala hata ikiwa hayo wanayopanga kutekeleza wana haki nayo kikatiba. As long as yatakuwa na negative impacts au yatawaletea usumbufu watawala huwa wako proactive.

Kilichotokea ni watu kutotaka kuunda uongozi na kutoka wote kwa mpigo. Hio ikawaacha askari katika bumbuwazi.
 
Pamoja na matatizo yetu Serikali na Wanachi bado tunalazimika kutatua kwa kufuata Sheria

Thread 'Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi wenyewe' Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi wenyewe
 
Wakina mandela nao walikuja tanzania huku vuguvugu likiendelea SA.

Wananchi tunataka utawala wa sheria, maana sasa kila mwenye mamlaka ni yuko above the law
 
Utakuwa slow learner mkuu kama mpaka leo hujui wanaume na wanawake wa bongo wana vipaumbele gani, karibu miaka 30 wanadai najua hukuwa hata umezaliwa leo ndio unauliza hapa jf, unataka notes ukadese?
Ni vipi hivyo ambavyo mnaona vinaweza kutimizwa kwa oktoba 29 kujirudia sio..ndio vitatimizwa ...so you need more blood ili vipaumbele vitimizwe tena kwa kua influenced na mange Kimambi na Maria Sarungi na wengineo wachache waliopo ughaibuni...
 
Mkuu uliandamana?Unagahamu Haki?Haki itapatikana siku ya Kiama sio kabla.Kwa sasa huku ni Mbwa kala Mbwa.Huwezi toa HAKI wala Huwezi kupata haki.Get that into your skull before a bullet is shoved into your head.
 
Kama una akili timamu na mpaka sasa hujui ni reforms zipi wananchi wengi wanadai basi uchawa umekuingia damuni haswaa
 
Hawa wote ni Sadists wanajificha ktk uharakati na Siasa , hawa wana shida ya ktk makuzi , malezi na wana Trauma zao hawa , na wanafurahia madhira na matatizo ya wenzao

Huyo Mange amedhalilisha sana watu kwa maandiko yake kipindi kwa blog na app yake kwa kurasa zake za moto/joto

Hawa wote hapa wanajificha ktk siasa na uharakati lkn ni zao la tabia zao za ukatili

Mange, Lissu,Maria Sarungi, Samia, Gwajima watatupeleka pabaya
 
Ni vipi hivyo ambavyo mnaona vinaweza kutimizwa kwa oktoba 29 kujirudia sio..ndio vitatimizwa ...so you need more blood ili vipaumbele vitimizwe tena kwa kua influenced na mange Kimambi na Maria Sarungi na wengineo wachache waliopo ughaibuni...

Babalevo kakae mezani ule ushakaribishwa achana na watu wanaotafuta nchi yao hayakuhusu haya...
 
Wakina mandela nao walikuja tanzania huku vuguvugu likiendelea SA.

Wananchi tunataka utawala wa sheria, maana sasa kila mwenye mamlaka ni yuko above the law
Mkuu unajaribu kulinganisha vitu viwili tofauti ama vita mbili tofauti ....unazungumzia uhuru wa nchi...kuishusha bendera ya mkoloni na kuipandisha ya nchi yako...hio vita unajua vyema ? Na pia Mandela hakuukana uraia wake..na alikua Tanzania purposely kabisa sio kwamba alikuja ku relax na familia ..unajua alikaa jela?
Mwingine huyo Yuko marekani na familia yake anaawamambia sisi tuandamane...

Baada ya watu wengi kufa mwisho wa siku kulikuwa na makubaliano muhimu sana kati ya Nelson Mandela na chama chake, African National Congress (ANC), na serikali ya wazawa wa Kizungu (White Minority Government) na wanajeshi wakati wa mwisho wa utawala wa Apartheid.
 
Babalevo kakae mezani ule ushakaribishwa achana na watu wanaotafuta nchi yao hayakuhusu haya...
You can do more than that bro.
Nimekuuliza swali...umefiwa? Tumepoteza biashara ama mali..umepata hasara yoyote...unatamani October 29 ijirudie?
 
And sadly they won't stop until more blood is shed..watu wasiishi kwa amani na kuendelea na maisha yao ya kila siku...hio sadism ni kweli kabisa mkuu...it's a mental disorder na wanamuona mzima lakini sio mzima...
 
We jamaa unaongea utumbo tu utafkiri huishi Tanzania watu wanavyopotezwa unaona sawa au ni vile hayajakukuta kwa mtu wako wakaribu ,ivi kwenye hii nchi watenda makosa ni wa upinzani tu,huoni hao panya wachache kufaidi keki ya taifa wenyewe
 
These people need to know how to collaborate and to share the cake of the nation without shed of blood..sababu wananchi ndio tunaingia kwenye haya mateso...tofaut na hapo tuendelee kuwasikiliza mange na Sarungi wakiwa ulaya na maisha mazuri wakituambia tukinukishe ili tuendelee kuzika familia zetu na mwisho tujizike..
 
We jamaa unaongea utumbo tu utafkiri huishi Tanzania watu wanavyopotezwa unaona sawa au ni vile hayajakukuta kwa mtu wako wakaribu ,ivi kwenye hii nchi watenda makosa ni wa upinzani tu,huoni hao panya wachache kufaidi keki ya taifa wenyewe
Kwaio mkuu solution unaona oktoba 29 ijirudie sio...
 
Kwaio mkuu solution unaona oktoba 29 ijirudie sio...
Hawa watu walioshika mpini sikuzote wamejiziba masikio hata Yale ya umuhimu watu wanayoyapigia kelele wanatuona wasumbufu kwanini tusiseme nao kwa luga ambayo nirahisi wao kuisikia
 
Hawa watu walioshika mpini sikuzote wamejiziba masikio hata Yale ya umuhimu watu wanayoyapigia kelele wanatuona wasumbufu kwanini tusiseme nao kwa luga ambayo nirahisi wao kuisikia
Sawa mkuu..hivyo tuvumilie damu zaidi imwagike ya ndugu zetu ?
 
Kama una akili timamu na mpaka sasa hujui ni reforms zipi wananchi wengi wanadai basi uchawa umekuingia damuni haswaa
Maybe I know or maybe I don't know...kwahivyo unaona October 29 ijirudie sio..tuendelee kuzika ndugu zetu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…