Mange Kimambi na Maria Sarungi je vipaumbele vya maandamano ni vipi?

Mkuu uliandamana?Unagahamu Haki?Haki itapatikana siku ya Kiama sio kabla.Kwa sasa huku ni Mbwa kala Mbwa.Huwezi toa HAKI wala Huwezi kupata haki.Get that into your skull before a bullet is shoved into your head.
Wewe unayeamini hizo hekaya zilizotungwa na matapeli wa kale kaa ukisubiri hicho kiama, tunaoishi hapa duniani sensibly facing the realities of whatever is transpiring we don't buy that shit of life after death so we'll fight for our rights come sun come rain.
 
Maybe I know or maybe I don't know...kwahivyo unaona October 29 ijirudie sio..tuendelee kuzika ndugu zetu ?
Ndugu zetu wamekuwa wakizikwa even before Oct'29th na wengine hata miili yao huwa haipatikani, Mafwele, Abdul and their crew have been doing massacres.
 

Unatupotezea muda hapa tulisha waambia hamkusikia sasa hatusikilizi ujinga tena bila reform za maana tutachoma nyumba ambayo wote tupo Mungu ataweka wengine
 
Unatupotezea muda hapa tulisha waambia hamkusikia sasa hatusikilizi ujinga tena bila reform za maana tutachoma nyumba ambayo wote tupo Mungu ataweka wengine
Sawa mkuu hakikisha unnaondoka na familia yako kwenda kuchoma hizo nyumba
 
Sawa mkuu hakikisha unnaondoka na familia yako kwenda kuchoma hizo nyumba
Wewe jamaa unajitoa akili kwa sababu ni mnafaika wa mfumo au utawala dhalimu.

Watu wenye busara na hekima zao walishaongea na kuonya sana (rekodi zipo) juu ya udhalimu ulioshika hatamu kwenye nchi yetu ila watawala wakaziba maskio na macho yao.

Maandamano is the language of the unheard and ignored citizens. Hukumu inakuja na wala si mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…