balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Pamoja mkuu, mi mwenyewe sijui ndio ushamba haya mawigi huwa yananitoa stimu kabisa yani. Navutwa sana na nywele halisi za mtu yani...
Wakora iwe bojo .. bukoba hawjambo
Hahahahahahah kwamba huyu ni muhaya au hahahahha
Tatizo nyie wote mnafikiri watu wote tunapenda hio mitako tako yenu iliojaa kama magunia ya pilpili...wengine ni waafrika kwa rangi tuu lakini tuko kizungu zaidi tunapenda vi portable kama hapo mange nimemtamani duuuuh ndo type zangu hizo....
Kwa sheria hii Wewe jela,
manyama nyama kwanza ni uchafu tuu...mianamke mingi yenye mitako tako inakaharufu fulani hivi...portable ndo mpango mzima..zunguka dunia nzima kama utakutana na mtu na pesa yake kaoa li mitako tako....hao ni huko huko afrika kwenye umasikini!!!
Hongera sana....wengine wakiona picha kama hizi wanakumbuka kibonzo cha betina kijarida cha sani na stimu zao zinakatika
Una maana FIDO DIDO .?
Mimi Binafsi yangu napenda hizo figure Kama Za Mange ...hata Kama mkisema ni fido dido ...ila slander gals are sweet ...and active ...utaomba Poooooo !!