balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Pamoja mkuu, mi mwenyewe sijui ndio ushamba haya mawigi huwa yananitoa stimu kabisa yani. Navutwa sana na nywele halisi za mtu yani...
yana miharufu ya mipafyumu halafu yapo kama kichaka,sipendiiiiiii!