Huto tudimpoz natupendaga sana.Ila hiyo bikini imenichekesha, naona ka ya kitoto vile!hata mi nimeipenda iyo figure, naona vi dimples kwa mbali, I like it
Huto tudimpoz natupendaga sana.Ila hiyo bikini imenichekesha, naona ka ya kitoto vile!
ha ha ha ha lol....Duu mwili ka mkaratusi ulokosa maji!
Hapo kwa gemu ya usiku kucha lazima uwe na spana mkononi!
Niliona nikacheka nikaona nijipitie tuuu
Source: W.Malecela Blog
hii picha kwa ka mchezo ketu inafaa. sema sina mafuta hapa
hahahahah....haya bana. Mimi na vi fido dido mbali kabisa, niliwahi kuchukua mmoja alipolala kitandani sikumwona kabisa...kitanda kikammeza.