Mange Kimambi ndani ya vazi la Bikini

Mange Kimambi ndani ya vazi la Bikini

Sheria zimeshaanza kutumika ama ? nina hamu ya kuchangia mada.
 
Mi naona tatizo sio figure hapo tatizo ni hivyo alivyovaa ndo vibaya.....sijui vimemkaaje tu yaani!

Mweeeeh si kwa bikini hiyo mazee.
Kaumbo kako simple!
 
Kakosa soko itakua hii cyo picha ya maadili yetu hata aolewe na mchina labda ingewekwa kweny mitandao wanayoona wazungu walio muoa pekeyake aache upumbavu, na hata kwa kutangaza Bidhaa kuna models maalum sasa basi aseme na yeye kawa model
 
Angevaa bikini zile zenye vikamba tumchek vizur
 
Back
Top Bottom