Mange Kimambi ni Raia wa Tanzania au ashachukua uraia wa Marekani?

Mange Kimambi ni Raia wa Tanzania au ashachukua uraia wa Marekani?

bado raia wa tz.... ana green card tu
kuna uwezekano mkubwa akawa ni raia tayari. kwani aliolewa na mwanaume wa taifa gani? na walidumu katika ndoa muda gani? ndoa ilikua ya kisheria au waliishi tu pamoja bila ndoa?. i can bet ilikua ni ndoa kabisa kwani mdada toka africa au mwanaume toka africa anayehitaji kuwa raia nje hawezi chezea bahati wakati anaishi nayo
 
huyo mdada anaitwa MANGE JUMANNE KIMAMBI.baba mpare mama makonde ,baba yake alizaliwa USA aliludi tz na kazi yake kubwa alikua injinia wa ujenzi kama sijakosea .
mzee j4 ameshatangulia mbele za haki kwa kujipiga mwenyewe kwa risasi akiwa bafuni.ameacha mke.sijajua vizuri ana watoto wangapi.
MANGE ameishi saana dubai amesoma huko na alifanyakazi huko kwa muda tu,na baadae aliludi tz na kuna miss tanzania mmoja aliwahi kua mwanamitindo au mfadhili wake.kwa sasa ameolewa USA.kwahiyo inawezekana kabisa akawa na uraia wa huko ingawa mama yake yupo hapa.
Kama humjui viZuri blogger mange si ukae kimya?
 
Mhhh Kahe kushakuwa Marekani hii kiboko
 
Habari zenu wana JF

Ikiwa ni jumapili Mubashara kabsaaaa kwangu lakini kwa upande wa Prince Daud Albert Bashite(jina lake halali kabsa) alimaarufu kama Paul C. Makonda(jina feki) mambo ni Mabaya sana, Mange Kimambi na Askofu Gwajima wamemkalia pabaya sana ndugu Bashite kiasi cha kukurupukua kila uamuzi anaochukua bila kushirikisha Ubongo!

Kutokana na taarifa ya kutafutwa kwa Mange Kimambi yaani Mange kuwa Most Wanted katika hii serikali ya awamu ya Tano, inakuaje wanapata shida sana kumkamata mange, kipi kinawapa ugumu!? inamaana Mange kachukua uraia wa Marekani au Bado ni Raia wa Tanzania.?

#Live_Long_Mange
Aah tunaomba aishi huko mpaka utawala wa misifa ukiwa umetoka magogoni
 
Hebu kua serious mkuu matusi yale anayotukana mtandaoni hafanyi kosa? Au kwa vile hakutukani wewe......
Kuexpose madudu ya watu au serikali sio kosa hapo namuunga mkono ila kutukana na kuwadhalilisha watu ni kosa na sitamuunga mkono hapo.
Usimuunge mkono lakini Marekani haimzuii wala haiwezi kumfunga, hanitukani mie ila hamna cha kumshtakia.
Tatizo watanzania mna woga wa ki pu mba vu sana ndo mana mnaonewa kama wajane.
 
Usimuunge mkono lakini Marekani haimzuii wala haiwezi kumfunga, hanitukani mie ila hamna cha kumshtakia.
Tatizo watanzania mna woga wa ki pu mba vu sana ndo mana mnaonewa kama wajane.
Hahaha basi kama uoga wa tz ni wakipumbavu sasa uoga wakwako sijui tuuiteje manake upo nyuma ya keyboard yako na id yako fake na kuwashtumu watz na uoga wa kipumbavu. Bila shaka we ndo kunguru (muoga) namba moja kwa watz.
 
Nahisi huyo Mange Kimambi ni kundi fulani chafuzi tu,linatumika na wanasiasa
 
mange kimambi alishasema atarudi bongo ..chadema watakapochukua nchi 2020..?!!!!!!
 
Haezi kuwa raia wa Marekani watamnyang'anya urithi wake wote wa Tz kwa hasira. Green card holder
Na hawaezi kumkamat akiwa Marekani maana marekani kisheria hafanyi kosa, only linchi lenu ndo kosa kumkosoa rais na wajinga wake
Ana urithi gani wa kumnyang'anya?????
 
Kumkosoa Sio kosa je kumtukana raisi marekani Pia Sio kosa?
Wale wana deal na issues hawadili na watu kuna sehemu imetengwa maalumu ya kutukana tukana tani yako ili uondoe stress zako,hawashuguliki na vitu vidogo vidogo wana deal na vitu vikubwa sababu mfumo wao wa kufikiri uwaza mambo makubwa hawaangaishwi na vitu vidogovidogo vya kupoteza mda.
 
Kwahiyo kutukanana unaona ndio sifa ? Achana na demokrasia zisizo na kichwa wala miguu, je! Ukiambiwa wanaume waoane hapa Tanzania ili kuonyesha ukomavu wa Kidemokrasi mtakubali?
 
Kwahiyo kutukanana unaona ndio sifa ? Achana na demokrasia zisizo na kichwa wala miguu, je! Ukiambiwa wanaume waoane hapa Tanzania ili kuonyesha ukomavu wa Kidemokrasi mtakubali?
hilo swali kamuulize jpm kwanini hakumkemea wakati anampigia kampeni kwq staili hiyo ya kutukana
 
Kwahiyo kutukanana unaona ndio sifa ? Achana na demokrasia zisizo na kichwa wala miguu, je! Ukiambiwa wanaume waoane hapa Tanzania ili kuonyesha ukomavu wa Kidemokrasi mtakubali?
wakati anamtukana lowasa mlikuwa mnamshabikia this time mnamuona anatukana
Lumumba bwana acheni awanyooshe tu
 
Hebu kua serious mkuu matusi yale anayotukana mtandaoni hafanyi kosa? Au kwa vile hakutukani wewe......
Kuexpose madudu ya watu au serikali sio kosa hapo namuunga mkono ila kutukana na kuwadhalilisha watu ni kosa na sitamuunga mkono hapo.
Hata wenyewe hua wanamdhalilisha....ni kama vita tu huwezi chagua silaha adui akikuanza
 
Back
Top Bottom