Mange Kimambi ni Raia wa Tanzania au ashachukua uraia wa Marekani?

Kwahiyo kutukanana unaona ndio sifa ? Achana na demokrasia zisizo na kichwa wala miguu, je! Ukiambiwa wanaume waoane hapa Tanzania ili kuonyesha ukomavu wa Kidemokrasi mtakubali?
Mwanaume akiamua Kuolewa ni personal choice, anayetaka kuolewa aolewe tu. Hata huko unakosema sio wanaume wote wameolewa. So kama taifa tunatakiwa kudeal na issue badala ya personal choices
 
Ila aliyeanzisha hii thread kwa kuyambua au kutokutambua nia yake ni kusaidia wanaomtafuta kupewa data kamili, no jukumu letu kutoa ushirikiano kama tunaoutoa sasa HV kama mtu ana nia sawa na hyo na kukaa kimya kama hautaki kutoa ushirikiano. Huo ni mtazamo wangu juu ya hii mada
 
WE NAE !
umeandika mengiiiiii,kwa kujiaminiiiii KAMA YA KWELI VILE!
 
Hahaha basi kama uoga wa tz ni wakipumbavu sasa uoga wakwako sijui tuuiteje manake upo nyuma ya keyboard yako na id yako fake na kuwashtumu watz na uoga wa kipumbavu. Bila shaka we ndo kunguru (muoga) namba moja kwa watz.
Oh yeah??? Inachukua masaa mangapi kutrack ip ya mtu na kumpata full name? ficha ujinga wako.
Watanzania waoga tena uoga wao wa kijinga mpaka unaudhi! Mnamwogopa eti kumsema mbovu Magufuli anawapelekesha kama maboga mnanung'unikia vyumbani kwenu na wake zenu mnaonewa mpaka kifo!!
Mtu anakaa jela 4 months kisa kasema kaota magufuli atakufa, who the hell is Magufuli? Na watz kama wewe mmefunga midomo hadi inanuka kama si upu uzi ninini! Kodi zote zinapelekwa chato halafu nyie mnaojiita wanaume ndo waoga kama swala shurti mwanamke ndo anawasaidia kuongea, ai!
 

Chizi humuona mzima ndie chizi yawezekana kabisa wewe ndo unapaswa kuficha ujinga wako. Kwanini mpaka wakutrack? Kwanini usitumie valid id yako mpk ujiite clueless? Point sio kupaza sauti na kuongea. Point ni jinsi ya kuwasilisha hoja yako. Ukiwa na hoja ila ukiwasilisha kwa kutumia makalio basi utaonekana na wewe bashite. So better na wewe uufiche ubashite wako.
 
Hamna dada Muongo kama huyo, na jinsi watanzania wanavyopenda uongo, basi ndio wamepata sasa mahali pa kupatia uongo! Ila uongo wake una mwisho.
 
Haezi kuwa raia wa Marekani watamnyang'anya urithi wake wote wa Tz kwa hasira. Green card holder
Na hawaezi kumkamat akiwa Marekani maana marekani kisheria hafanyi kosa, only linchi lenu ndo kosa kumkosoa rais na wajinga wake
Unaposema linchi lenu as if huishi huku....
 
Alafu usitutukane tafadhali.....huna tajiriba ya kutunyoshea vidole....unaweza toa maoni yako bila matusi
 
Hhahahahaha
 
Alisha pata uraia. Angekuwa bado tayari angekuwa amekamatwa kwa sheria ya Interpol na kuletwa TZ lakin km amefanya kosa la maana na wala siyo kwa huu umbea
Kumrejesha mhalifu toka nchi nyingine ni mchakato wa kimahakama na mkataba kati ya nchi na nchi. Interpol hawana hiyo automatic power. Fuatilia Alex Masawe mpaka leo imekuwa ngumu kupata kibali cha mahakama kumrejesha aunganishwe kwenye kesi na Papaa Msofe. Kuna somo refu kuhusu jambo hili.
 
E bwana ebu pita kushoto usinikaribishie ban wkt najaribu kukuheshimu afu unajiona unajua kunifundisha jinsi ya kuwasilisha point, wewe valid id yako iko wapi?
Cha muhimu point yangu ya kwanza umeipata! Na nairudia, watz waoga na uoga wao wa kipu.mba.vu, unaamuaje?? Kwendraaaaaa kafundishe mumeo kuandika point utakavyo mbuzi we!!
 
Alafu usitutukane tafadhali.....huna tajiriba ya kutunyoshea vidole....unaweza toa maoni yako bila matusi
Tusi liko wapi? Kwani kuna uongo watanzania hawana nidhamu ya Uoga na unawafanya wanakuwa mapopompo!? Mbaya zaidi hamtakagi hata kufungua akili kidogo mkavuka mipaka mkaona wenzenu wanafanya nini, yani zero zero zero kuanzia rais, ngai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…