Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Ameshatoka kifungoni zamaanAhhhhhh acha kabisa mkuu, yale makitu dizaini ya isha mashauzi tunayapenda wanaume, sasa sijui na nyinyi wanawake manapenda wanaume wenye misambwanda kama Bashite?
Kwanza Warumi ameshatoka ban?
Neno la msimu...Hivi maana ya kiki ni nini?
Si unajua mimi ni V. I.P nimepewa ban ya nusu saa tu, lol(jokes) nimerudi binamu
Hahahaha nami nashangaa jamani!Hahahahah warumi umekula tena ban ahhahaha
Nilitoka binamu, nimepigwa tena jana ban ya mwaka, ila usinitaje kwa mods, hapa naibia tuKwanza Warumi ameshatoka ban?
Nimekula mwenzangu, c unajua domo langu halinaga break binamu, nshampa mtu kichambo kitakatifu jana, hapa roho kwatuuu, nime rest in peace kabisaHahahahah warumi umekula tena ban ahhahaha
Nilitoka binamu, nimepigwa tena jana ban ya mwaka, ila usinitaje kwa mods, hapa naibia tu
Kabisa uvumilivu sinagaHahaha tatizo kiwango chako cha kuhimili povu kipo chini sana
Hivi huyu mange kimavi utaifa wake ni wapiNgachoka mie, kwa hiyo drama zote zile ulikua unatafuta kiki? Sasa kumbe ulikua unamuonea wivu makonda alivyokua anatoka kwenye magazeti kila siku eeh? Ukaamua sasa umchafue weee, dah tutajionea mengi mwaka huu, dah hizi kiki mwaka huu hatari, na umefanikiwa kwa kweli, kazana kuitukana serikali, but remember karma is around the corner