Mange Kimambi: Nimepata kiki ya kutosha

Mange Kimambi: Nimepata kiki ya kutosha

KAMA NI KWELI CHADEMA WATAKUWA WA OVYO SANA SANA!!!!
Sasa wampe hela yeye kama nani?!anatukana watu hata wasio wanasiasa!!anatukana hata wanachadema wenzie....
Mwenyezimungu amempiga pigo takatifu!!siku zote tunaaswa tuwe na staha kwa watu,ila Mange alijihakikishia maishaa!alijiona mungu mtu,aliwafedhesha wenye njaa kisa yeye ameshiba!!kiko wapi leo?!

Mange leo wakuomba hela ya kutumia jamani?!alimtukana na kumfedhehesha Milly wa TZSHADEROOM mpaka basiii..pamoja na yote ila Milly hajawahi kuomba hela kwa watu pamoja na shida zake!!

Bado Mange bado ataumbuka saaaana!!kama alivyowaumbua wasio na hatia!!!

Safi sana CHADEMA,hakuna hela za mchezo aisee za kuwapa mataahira...kwani ametumwa?!
 
Napoteza Imani kwa mwenyekiti wangu Mbowe....akina Sugu na Lowassa wameshasahau huyu kibiriti Ngoma alivowadharirisha mbele ya umma?
Jamani Mange kuanza kujiita Freedkm fighter ni baada ya kukosa kiti hata cha ubunge viti maalumu.
 
Nacho kiona Vijana wa Lumumba wamefungua Account nyingi za Mange Kimambi za Insta., Twitter na fb kupotosha uelekeo.

Nimeziona. Za fb zina deshi(_) chini. Ila hali Original haina.

Hata hii ni feki
Huyo Warumi mwenyewe ni Lumumba FC
 
Ndio maana sometimes watu wakisema upinzani haupo fit kushika hatamu ya nchi naanza kuamini.
Tokea nilipokuta Zitto kamfollow Mange.
😀😀😀😀😀 usiniambie.. No wonder naye Zitto naye kawa wa ajabu ajabu..
 
Napoteza Imani kwa mwenyekiti wangu Mbowe....akina Sugu na Lowassa wameshasahau huyu kibiriti Ngoma alivowadharirisha mbele ya umma?
Jamani Mange kuanza kujiita Freedkm fighter ni baada ya kukosa kiti hata cha ubunge viti maalumu.
Ahsante mama,love you
 
Wale ni wanafiki hapo walipo wanajidai wapo nae kumbe wengi wao wanafake accounts za kumnanga
Ukitaka kujua Watanzania tuna upungufu wa virutubisho katika ubongo wa nyuma,kasome comments kwa Mange.
 
Mtoa uzi, wewe ndoo muamulu wa Karma? Yaani unathubutu kutaja Karma huku unamtetea Bashite? Wonders shall never end
 
Sasa kahaba is trying to cash-in thru her insta followers by way of a bogus gofundme campaign and already she's $200-plus richer within 24 hours. Damn!
 
Akauze Papuchi tu uko USA nimeshawahi nunua kwake
Acha kashfa kwa mwanamke. Uliambiwa anjiuza? Kuna watu mnapenda sana kuwakashifu wanawake wenye msimamo. Mange ni Msomi wa Masters aliyeolewa kihalali kwa ndoa Na edivorce kisheria. Hana shida ya kujiuza analea Watoto wake.
 
Back
Top Bottom