Mange Kimambi sasa aamua kuwa mwimbaji wa Bongo Fleva

Mange Kimambi sasa aamua kuwa mwimbaji wa Bongo Fleva

inaonekana unampenda sana huyu dada maana sio kwa kumfuatilia huku
 
Mkuu Tatum huwa kila siku nakuambia na hausikii weka namba yako ya simu teuz imebak moja tu La sivyo utakuwa unatwanga maji kwenye kinu mwenzako kichonge mda sio mrefu atakuwa mbali wewe ukiendelea kuzubaa
 
Kazi zingine si za kuhitaji kuteuliwa kama unavyofikiri.Ni kuwajibika tu kwa Taifa.
 
Nahitaji full music system (Home theatre) ya kutoka kampuni ya Sony ni sh ngapi?

Kwa msaada mtafute seven mosha utapata kila unacho hitaji kutoka Sony
 
Unampenda sana Mange maana bandiko zako nyingi ni za Mange
 
Hilo la world bank ni fake. Wao wenyewe wanaomba kuikopesha Tanzania. Halafu mnatuletea fake news zenu eti wanasitisha mkopo. Wabongo bwana wavivu kufikiri hadi mnamtegemea mange Kimavi afikiri kwa niaba yenu

Lmao!! World bank ndo wanaifata Tanzania kuomba Tz wakope?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa madeni gani nchi yako wanayorudisha hadi World Bank iwabembeleze??
Umeongea pumba iliyooza haki ya nani tena hadi nimekupenda bila gharama[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
That is a very poor analysis
vichwa panzi ndio vina mawazo kama haya!!!!
eti serekali itajamba you really sick

We dada, ebu pita kushoto uachane na comments zangu! Ushajijua kabisa huzipendi kaushia huko huko ulipo na jibu wengine.
And,
Kama aliwachezesha kwata nchi nzima polisi mkaandamana nyie ndo atashindwa? Yes mtajamba jamba sana. Kuanzia Ikulu walijambishwa na maandamano, Na bado!
 
Umeanza kumfatilia Mange unatusumbua na nyuzi zako za hovyo hovyo kila kukicha kwani unalazimishwa kuandika kama hauna cha maana tulia tuu kuliko kuja na haya madudu...
 
Huyu hapa bi mkora
images(1).jpg
 
We dada, ebu pita kushoto uachane na comments zangu! Ushajijua kabisa huzipendi kaushia huko huko ulipo na jibu wengine.
And,
Kama aliwachezesha kwata nchi nzima polisi mkaandamana nyie ndo atashindwa? Yes mtajamba jamba sana. Kuanzia Ikulu walijambishwa na maandamano, Na bado!
Stupid fool
dont put your comments herein
unaisema serekali yetu hovyo alafu unatuzuia wananchi
wenye upendonayo tukae kimya ......???
karwefi huko......
na usirudie kuweko comment za kijinga you will deal with me
 
Hahahaaa??? Who are you???ras usiyeoga wala kuosha nywele?? I said what I said and you can do NOTHING ABOUT IT!! Na nitasema kila sekunde! Magufuli na kundi lake ukiwemo mtajambishwa sana na mange kimambi! Now what you going to do??? Lmao!!! upendo my a$$
Kaoge!
 
Mdada maarufu kwenye mitandao ya kijamii anayeishi huko Marekani baada ya mtikisiko mkubwa kiasi cha kutoamini macho na masikio yake kuhusu adhima yake ya kuutikisa utawala wa Dr Magufuli kutofanikiwa sasa amekumbuka mambo yake ambayo ndiyo fani yaani mambo ya urembo na ulimbwende.

Ameamua kupumzika mambo yake ya uwanaharakati wa kupigania haki za wananchi na demokrasia na kurudi katika fani yake ya urembo.

Anadai kuwa ameamua kurudia fani yake ya urembo mpaka mwezi wa August atakaporudi kivingine sijajua huko kivingine ni kivipi.

Sasa ameanza kukumbuka na watoto wake.
 
Kwani Musiba hajamtaja tena kama mtu Hatari kwa taifa hili?
 
Back
Top Bottom