Mange Kimambi tunamchukulia poa sana

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wanabodi,

Imebidi niseme kidogo kuhusu huyu dada. Sitaki kuzungumzia kabisa harakati zake against utawala wa Rais wa sasa kwasababu mbalimbali lakini huyu dada amekuwa na ushauri mzuri sana kwenye maswala ambayo hana interest au upande.

Moja ya kazi ambayo wengi mtaiona ni nyepesi lakini amei handle kwa akili mno ni mjadala wa matokeo ya mtoto wa msanii maarufu Kajala. Mange Kimambi ametumia vizuri mno command yake huko Instagram kumsaidia huyo binti na indirectly mabinti maelfu wenye hali kama yake.

Sometimes unaweza kuleta impact kwa jamii kwa namna tofauti. Yapo mengi ambayo ni very positive amefanya lakini binafsi nimeona nitumie fursa ya hili kuonesha jinsi ushawishi wake unavyoweza kuibadili Tanzania.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rejesha pumba zako huko insta ... apa ni sehemu zama great thinkers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ht beef ya kiba na mondi..mondi alipoomba kifanya collabo na kiba kiba alipochomoa..alielezea kiufanisi sana sana...
 
Amefanya nini chief? Hebu fanya unaamua kutuhabarisha ambao hatuna taarifa
 
kafanya nn...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…