Mange Kimambi tunamchukulia poa sana

Mange Kimambi tunamchukulia poa sana

Yupo field huyo
Hayo ni maandalizi ya charity yake
But she's good in a way

Sent from my SM using Tapatalk
 
Khe khe kheeeeee huyo mange si ndie aliyetoa video sijui clip akisema mtoto wa kajala kaliwa kiboga na akina aslay eti leo anamteea aiseee mnafiki hana alama
 
Binafsi huwa naona ana unafiki utetezi huwa anaangalia kama ni mtu wake ama laa, yeye ndiye bingwa wa kubully watoto wa mahasimu wake.
 
Wanabodi,

Imebidi niseme kidogo kuhusu huyu dada. Sitaki kuzungumzia kabisa harakati zake against utawala wa Rais wa sasa kwasababu mbalimbali lakini huyu dada amekuwa na ushauri mzuri sana kwenye maswala ambayo hana interest au upande.

Moja ya kazi ambayo wengi mtaiona ni nyepesi lakini amei handle kwa akili mno ni mjadala wa matokeo ya mtoto wa msanii maarufu Kajala. Mange Kimambi ametumia vizuri mno command yake huko Instagram kumsaidia huyo binti na indirectly mabinti maelfu wenye hali kama yake.

Sometimes unaweza kuleta impact kwa jamii kwa namna tofauti. Yapo mengi ambayo ni very positive amefanya lakini binafsi nimeona nitumie fursa ya hili kuonesha jinsi ushawishi wake unavyoweza kuibadili Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
tangu lini kichaa akawa mshauri mzuri?
 
Binafsi huwa naona ana unafiki utetezi huwa anaangalia kama ni mtu wake ama laa, yeye ndiye bingwa wa kubully watoto wa mahasimu wake.
Sure.. Mtu kama anamaslahi nae atamtukana matusi ambayo hayaelezeki.
 
Wanabodi,

Imebidi niseme kidogo kuhusu huyu dada. Sitaki kuzungumzia kabisa harakati zake against utawala wa Rais wa sasa kwasababu mbalimbali lakini huyu dada amekuwa na ushauri mzuri sana kwenye maswala ambayo hana interest au upande.

Moja ya kazi ambayo wengi mtaiona ni nyepesi lakini amei handle kwa akili mno ni mjadala wa matokeo ya mtoto wa msanii maarufu Kajala. Mange Kimambi ametumia vizuri mno command yake huko Instagram kumsaidia huyo binti na indirectly mabinti maelfu wenye hali kama yake.

Sometimes unaweza kuleta impact kwa jamii kwa namna tofauti. Yapo mengi ambayo ni very positive amefanya lakini binafsi nimeona nitumie fursa ya hili kuonesha jinsi ushawishi wake unavyoweza kuibadili Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulchokiandika n hukp insta pekee ndo watakuelewa vzr
So jes stick there

Sent using Jamii Forums mobile app
 
48210615_202158037395700_2657727845823938560_n.jpg
 
Back
Top Bottom