Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Binafsi huwa naona ana unafiki utetezi huwa anaangalia kama ni mtu wake ama laa, yeye ndiye bingwa wa kubully watoto wa mahasimu wake.Khe khe kheeeeee huyo mange si ndie aliyetoa video sijui clip akisema mtoto wa kajala kaliwa kiboga na akina aslay eti leo anamteea aiseee mnafiki hana alama
Binafsi huwa naona ana unafiki utetezi huwa anaangalia kama ni mtu wake ama laa, yeye ndiye bingwa wa kubully watoto wa mahasimu wake.
tangu lini kichaa akawa mshauri mzuri?Wanabodi,
Imebidi niseme kidogo kuhusu huyu dada. Sitaki kuzungumzia kabisa harakati zake against utawala wa Rais wa sasa kwasababu mbalimbali lakini huyu dada amekuwa na ushauri mzuri sana kwenye maswala ambayo hana interest au upande.
Moja ya kazi ambayo wengi mtaiona ni nyepesi lakini amei handle kwa akili mno ni mjadala wa matokeo ya mtoto wa msanii maarufu Kajala. Mange Kimambi ametumia vizuri mno command yake huko Instagram kumsaidia huyo binti na indirectly mabinti maelfu wenye hali kama yake.
Sometimes unaweza kuleta impact kwa jamii kwa namna tofauti. Yapo mengi ambayo ni very positive amefanya lakini binafsi nimeona nitumie fursa ya hili kuonesha jinsi ushawishi wake unavyoweza kuibadili Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Da Mange kasema nini leo? 🤣🤣
Sure.. Mtu kama anamaslahi nae atamtukana matusi ambayo hayaelezeki.Binafsi huwa naona ana unafiki utetezi huwa anaangalia kama ni mtu wake ama laa, yeye ndiye bingwa wa kubully watoto wa mahasimu wake.
Ushahidi?Mange mal*ya tu amenunuliwa na hela ya lugumi hawezi kuwa na moral right kushauri chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulchokiandika n hukp insta pekee ndo watakuelewa vzrWanabodi,