Mange Kimambi umbea ndio fani yako, siasa waachie akina Maria Sarungi

Mange Kimambi umbea ndio fani yako, siasa waachie akina Maria Sarungi

Acha Wenge,Mange ndio habari ya Mjini Hata BABA JESKA na BASHITE masaa 24 wapo kwa peji ya mange kuona leo kuna habari gani hahaaa hata Le Mtumboz you know lazima apitie peji ya mange akiona hajapost kitu basi Le Mtumboz lazima amchokoze Mange hahaahaha THIS CASE IS CLOSED.
Mwanaume kaongea tu hamna cha Mange wala Kimambi!
 
Nilitaka niingie kwenye mtego wa kumpenda Mange lakini nikakumbuka huyu ni mjinga tu ambaye katuletea huyu Tingatinga
 
mangekimambi_Happy Mother’s day to my mother @dr_mwelemalecela@mwelentuli

Thank you for all you have been to me. Thank you for all you have taught me. I might not put it into practice often but you should know you did your job as a mother. Your love for me and all those around you is unconditional. You are a mother to so many, you have a big heart filled with so much love. You have enough love to give to everyone in your life sometimes I wonder if you have any left for yourself. You are a woman of strength, you have faced many challenges in your lifetime but you always come out on top.

Very few people in this world understand me and you are one of those few. You know when I’m sad even if I smile and laugh you can still see the invincible tears in my eyes. You have never left me alone. You love me with all my flaws. You never gave up on me even when many people did. You loved me at my worst and my loneliest. .
I’m sorry for all the times I have let you down with my actions. Im sorry for all the times I didn’t listen to you. I’m sorry for the times I have caused other people to blame you for my actions. I am truelly sorry.

I don’t know where I would be without this woman y’all. After my father died I was so lost. I didn’t know where to start, how to pickup the pieces or how to mend my broken heart. She saw me through this difficult time in my life. She saw to it that I went back to School and I graduated and pushed me to get my masters degree. She did her best to fill the void that my left my father. She was tough with me when she needed to be but always loving.

I love you so much Dr. Mwele. Thank you for being that exemplary figure in my life. Thank you for being a mother to me and so
 
Duh unampenda kweli huyu bibi kila siku unamuanzishia uzi
 
Una mahaba mazito kweli kwa huyo mama"" na hapo wewe ndio officer usalama"" ambaye una jukumu ya kuwalinda watanzania lakini kutwa unafuatilia umbea "" Umeshajiuliza hali ikoje kwa raia wakawaida "na watakuwa na mahaba kiasi gani kwa hyo mama"" kama wewe na mzee wa chatle wote huwa hamdiriki kupitwa na habari zake""?
 
Una mahaba mazito kweli kwa huyo mama"" na hapo wewe ndio officer usalama"" ambaye una jukumu ya kuwalinda watanzania lakini kutwa unafuatilia umbea "" Umeshajiuliza hali ikoje kwa raia wakawaida "na watakuwa na mahaba kiasi gani kwa hyo mama"" kama wewe na mzee wa chatle wote huwa hamdiriki kupitwa na habari zake""?
kawaida tu ondoa shaka
 
Hivi inakuwaje anaacha kumsema mama yake anamsema mwele jamani,si awasifie wote
 
Back
Top Bottom